Michael Paul
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 403
- 319
Mleta mada anapotosha watu.
binafsi sijawahi ona kampuni yenye vifaa vya kisasa kama hii inayojenga hii barabara.
pia wana manpower ya kutosha kabisa na speed yao ya ujenzi ni kubwa sana.
huyu mleta mada atakua ameshazoea zile bara bara za kulipuliwa lipuliwa.
me nampongeza sana huyu mkandarasi ukiangalia unajua kabisa kuwa anajua anachokifanya.