Nimeona na Mimi ramani alotumia ni ya Google Malawi inayoonesha ziwa lote la Malawi hata ivo huyo mtangaz hatachukuliwa hatua yeyote ila zingewa za akina mbowe, zito , lema angekuwa ndani saiz big shameMiaka yote tumekuwa tukipinga jina la Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi kama lilivyobatizwa na Rais Banda wa Malawi!
Leo kwa masikitiko makubwa nimesikia TBC wakiliita Ziwa Malawi tena kwa kurudia rudia tena katika taarifa ya habari ya usiku huu! Malawi siku zote wanadai Ziwa ni mali yao, hoja ambayo tumekuwa tukipinga kwa nguvu zote! Sasa nimeamini kuwa kweli Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi na Tanzania ni wavamizi!
Shame on you TBC!
Huyo mtangazaji awajibishwe, kwanza jina lake ni nani? Inaonekana hafahamu kabisa jografia nchi.Miaka yote tumekuwa tukipinga jina la Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi kama lilivyobatizwa na Rais Banda wa Malawi!