Aibu!: TBC wanaita Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi!

Miaka yote tumekuwa tukipinga jina la Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi kama lilivyobatizwa na Rais Banda wa Malawi!

Leo kwa masikitiko makubwa nimesikia TBC wakiliita Ziwa Malawi tena kwa kurudia rudia tena katika taarifa ya habari ya usiku huu! Malawi siku zote wanadai Ziwa ni mali yao, hoja ambayo tumekuwa tukipinga kwa nguvu zote! Sasa nimeamini kuwa kweli Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi na Tanzania ni wavamizi!

Shame on you TBC!

Na wewe una moyo, Tibisi!!!
 
Hii TV ni janga la kitaifa, ukiondoa kukosa umakini, kupooza kukosa mvuto pia ina ugonjwa mbaya wa kupanda na kushuka sauti. Yaani hata ukiweka zero si ajabu ikasikia sauti inajipandisha hadi Vol. 600,au ukiweka Vol. 10000 itajishusha mpaka Vo. 1.

Mzee baba huu ni usk bwana..nimecheka kwa ngv mno hapa kitandani hahahhhha...uwiiii..bora na ww umeliona..saa zingine inaugua tonsils kbs..sauti inakata😂😂..u made my nite asiee..sijiui Ryoba anajisikiaje
 
Ili kfahamu
Miaka yote tumekuwa tukipinga jina la Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi kama lilivyobatizwa na Rais Banda wa Malawi!

Leo kwa masikitiko makubwa nimesikia TBC wakiliita Ziwa Malawi tena kwa kurudia rudia tena katika taarifa ya habari ya usiku huu! Malawi siku zote wanadai Ziwa ni mali yao, hoja ambayo tumekuwa tukipinga kwa nguvu zote! Sasa nimeamini kuwa kweli Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi na Tanzania ni wavamizi!

Shame on you TBC!

Kabla ya kulaumu, ni vizuri kufahamu kwa nini liitwe hivyo. Ziwa hili lipo kwenye mipaka ya Tanzania,Malawi na Msumbiji nalina majina kufuatana na shehemu husika.

Watu wa Malawi wanaliita ziwa malawi, Tanzania tunaliita ziwa Nyasa, na kule msumbiji wanaliita ziwa Lago Niassa.

NB:
Siyo TBC imeliita ziwa malawi, bali ni mtangazaji wa TBC
 
Pumbavu kwani mtangazaji alikuwa anatangaza taarifa ya shirika gani?!
 
TBC haina umuhimu wowote kwa wananchi,haiwezi kuonyesha kero za wananchi,mda wote mikutano na vikao vya CCM, hata kuonyesha timu ya taifa ikicheza hawawezi,kwanza sauti mvivu,picha mbovu,hadi inashindwa na ZBC ya Zanzibar.
 
Miaka yote tumekuwa tukipinga jina la Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi kama lilivyobatizwa na Rais Banda wa Malawi!

Leo kwa masikitiko makubwa nimesikia TBC wakiliita Ziwa Malawi tena kwa kurudia rudia tena katika taarifa ya habari ya usiku huu! Malawi siku zote wanadai Ziwa ni mali yao, hoja ambayo tumekuwa tukipinga kwa nguvu zote! Sasa nimeamini kuwa kweli Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi na Tanzania ni wavamizi!

Shame on you TBC!
Ukweli ndiyo huo. Tafuta ramani ya miaka ya nyuma anzia 1930. Utaujua ukweli
 
Miaka yote tumekuwa tukipinga jina la Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi kama lilivyobatizwa na Rais Banda wa Malawi!

Leo kwa masikitiko makubwa nimesikia TBC wakiliita Ziwa Malawi tena kwa kurudia rudia tena katika taarifa ya habari ya usiku huu! Malawi siku zote wanadai Ziwa ni mali yao, hoja ambayo tumekuwa tukipinga kwa nguvu zote! Sasa nimeamini kuwa kweli Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi na Tanzania ni wavamizi!

Shame on you TBC!
Wapuuzi wote waliohusika wawajibishwe
 
Kwani Nyasa maana yake nini? Nyasa ndo malawi kwa vijana wa siku hizi mfahamu hilo.
 
Back
Top Bottom