Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,797
- 12,239
Miaka yote tumekuwa tukipinga jina la Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi kama lilivyobatizwa na Rais Banda wa Malawi!
Leo kwa masikitiko makubwa nimesikia TBC wakiliita Ziwa Malawi tena kwa kurudia rudia tena katika taarifa ya habari ya usiku huu! Malawi siku zote wanadai Ziwa ni mali yao, hoja ambayo tumekuwa tukipinga kwa nguvu zote! Sasa nimeamini kuwa kweli Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi na Tanzania ni wavamizi!
Shame on you TBC!