Aibu!: TBC wanaita Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi!

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,759
12,175
Miaka yote tumekuwa tukipinga jina la Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi kama lilivyobatizwa na Rais Banda wa Malawi!

Leo kwa masikitiko makubwa nimesikia TBC wakiliita Ziwa Malawi tena kwa kurudia rudia tena katika taarifa ya habari ya usiku huu! Malawi siku zote wanadai Ziwa ni mali yao, hoja ambayo tumekuwa tukipinga kwa nguvu zote! Sasa nimeamini kuwa kweli Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi na Tanzania ni wavamizi!

Shame on you TBC!
 
Nimeona na Mimi ramani alotumia ni ya Google Malawi inayoonesha ziwa lote la Malawi hata ivo huyo mtangaz hatachukuliwa hatua yeyote ila zingewa za akina mbowe, zito , lema angekuwa ndani saiz big shame

Kesho utasikia mtu anazungumza uzalendo upi huo?
 
Hii TV ni janga la kitaifa, ukiondoa kukosa umakini, kupooza kukosa mvuto pia ina ugonjwa mbaya wa kupanda na kushuka sauti. Yaani hata ukiweka zero si ajabu ikasikia sauti inajipandisha hadi Vol. 600,au ukiweka Vol. 10000 itajishusha mpaka Vo. 1.
 
Miaka yote tumekuwa tukipinga jina la Ziwa Nyasa kuwa ni Ziwa Malawi kama lilivyobatizwa na Rais Banda wa Malawi!

Leo kwa masikitiko makubwa nimesikia TBC wakiliita Ziwa Malawi tena kwa kurudia rudia tena katika taarifa ya habari ya usiku huu! Malawi siku zote wanadai Ziwa ni mali yao, hoja ambayo tumekuwa tukipinga kwa nguvu zote! Sasa nimeamini kuwa kweli Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi na Tanzania ni wavamizi!

Shame on you TBC!
Huyo mtangazaji awajibishwe, kwanza jina lake ni nani? Inaonekana hafahamu kabisa jografia nchi.
 
Jina La Watangazaji
Mhariri Chumba Cha Habari Aliyeruhusu Kusomwa Hivyo Ni Nani.
Hawakuona Ni Makosa Dhahiri Ama Hili Jambo Linataka Mpaka Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Atolee Ufafanuzi Kama Wakati Wa Rangi Za Bendera Ya Taifa Waliposema Dhahabu, Wakati Tunasoma Tumeambiwa Njano
 
Wabongo wana phd ya Roho mbaya

Hayo ni makosa ya sasa mnataka mwenzenu aharibikiwe na Family yake utadhan nyie hamfanyi makosa eneo lenu la kazi
 
Mzee baba aliendaga kufungua soko la tumbaku tu?
Hakuwapa kweli ziwa lote!!?

Asilaumiwe mjumbe hauawi.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom