Aibu nyingine uwekaji wa Jiwe la msingi Chongoleani Tanga!

Ni kweli maendeleo hayana chama kila mwenye ufahamu anajua hilo lkn ni wajibu wa chama kilichopo madarakani kutekeleza Sera zake.Tunaliona sasa ni uadui dhahiri baina ya chama tawala na vyama vingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For sure populism is all about self-serving.

Kauli hizi: maendeleo hayana chama; wananchi hawali vyama. Kwenye masuala muhimu ya kitaifa tuweke uzalendo mbele; uchama hauna nafasi. Hapa kazi tu; siasa hadi 2020. Hii ni serikali ya Magufuli; Tanzania ya Magufuli ni ya viwanda.

(Lakini) mmefanya makosa kuchagua upinzani; maendeleo yanaletwa na serikali ya CCM. Muulizeni huyu mbunge wenu (wa CUF) amewafanyia nini hadi sasa. Najua mmetambua kosa lenu; nimekubali maombi yenu ya msamaha (kwa wananchi wa Kilimanjaro).

You can't reconcile the inconsistent lot with any logical discourse. Tusahau kabisa mjadala wa kisiasa wenye mantiki nchini katika awamu hii. Hii ni zamu ya mashabiki kushindana kwa ufundi wa propaganda za kutetea chochote ili kujikomba mbele ya wahisani wao.
 
Kutokana
Hii Serikali ya Magufuli inafanya vitu vingine hata havina mantiki.

Leo tena wamefanya kituko kingine cha aibu kwa kulazimisha Katibu Mkuu CCM Bwana Kinana naye aongee mbele ya hadhara kana kwamba hilo ni swala la chama cha CCM? Huu ndiyo upuuzi tunaousema unaofanywa na CCM kila kukicha.
Kila leo utamsikia Magufuli akisema MAENDELEO HAYANA CHAMA.....! Kama kweli maendeleo hayana chama kulikuwa na ulazima gani ya K/Mkuu CCM kuongea mbele ya hadhara kwa jambo ambalo ni la Kitaifa linalohusisha nchi mbili?

Mbona Rais wa Uganda Mzee Yoweri Kaguta Museveni hakuja na watu wa chama chake cha NRM(National Resistance Movement)? Ni kwa vile aliona hawana ulazima huo kwa vile siyo mahali pake.

Hii ni aibu na CCM badilikeni muache huu ujinga, siyo kila kitu ni Kampeni!!!
Kutokana Na Uzi naweza kukadiria umri wako wa kuzaliwa kuwa ni chini ya 1992.
Kama ungekuwa mfuatiliaji was historia ya nchi yako ulipaswa kufahamu kuwa M7 ni product ya Tz chini ya Mwalimu Nyerere ndio maana watoto wake watatu wamezaliwa hapa mmoja Muhimbili, Ocean Road Na KCMC.
Kwahiyo wakati yupo hapa anapikwa kuwa kiongozi was UG akina Kinana walikuwa ktk chombo kimoja cha dola kama makada was chama huko.
Ndio maana lazima Leo angekuwepo Na akaongea mambo makubwa sana.
Kabla ya kunena jifunze kutafiti!
 
Serikali inatekeleza ilani ya CCM na kinana Nadhani Ndio mtendaji mkuu wa CCM hivyo yuko Kiserikali zaidi
Jifunze kuelewa uraia,kama ilikuchenga basi jielimishe kwa kujisomea,kuna mipaka ya serikali kuhusu ahughuli za kichama,ndo maana sheria ya vyama vya siasa iko wazi,jielemiahe nsugu yangu acha kukariri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vichaa bwana sasa hata kuandika kwenyewe hujui, kiswahili hujui bado nawewe unataka kuchangia mada za wenye akili timamu!? Hapana bwana mada zingine muwe mnawaachia wenye akili timamu wachangie nyie vichaa subirini mada zitakazo endana na hali zenu.
Nafikiri kuna umuhimu wa kukupima ch oo kikubwa na wala sio jo joo,ukichaa upo wapi kwenye quote yng??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie opp acheni ujinga. Hivi kinawahusu nini kinana kuongea. Kama mmeumia sana kuleni malimao.

Sent using Jamii Forums mobile app
We're talking nation interest here you blood fool! Only fools will talk nonsense like you!
This Oil pipeline between Chongoleani-Tanga and Hoima-Uganda is and will never belong to CCM or NRM but only belongs to the Peoples Republic of Tanzania n' Uganda!Understand?
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Pole sana Comred Kinana kwa yaliyikukuta. Sijui sasa hivi umejikunyata baridi hapo Quebec kama wanavyodai wabaya wako au umejifungia Masaki kimya hautaki kuonana na washamba.
 
Back
Top Bottom