Aibu nyingine uwekaji wa Jiwe la msingi Chongoleani Tanga!

Kwa mtu yeyote mwenye akili kubwa ata elewa kuwa kitendo chakurudia rudia kuongea huo msemo wa maendeleo hayana chama ni dhahiri, mara oooohh! ningeamua hiki nisinge kifanya kwenye jimbo la upinzani , maneno hayo kuwa yanrudiwa rudiwa kila anapo zindua mradi unao pia kwenye jimbo la upinzani ni dhahiri utagundua kuwa kuna chuki kubwa sana tena zaid ya sana dhidi ya upinzan na kuna jambo baya ambalo anajua kuwa analifanya dhidi ya upinzani. Hii ni kwa wenye akili timamu pekee.
Ama nchi kama umekereka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni chizi,hujiielewii na bashite wa daraja 0!
Umekurupuka kujibu hoja ambayo bado hujaielewa! Bomba la Mafuta is a NATION agenda not CCM or any party!

?
Acha kujitoa akilia, nimekuuliza unataka Mseveni aje na Viongozi wa NRM hapa ni kwao au ni kwetu?
 
Hawajawahi kujielewa hili chama
235518
 
Serikali inatekeleza ilani ya CCM na kinana Nadhani Ndio mtendaji mkuu wa CCM hivyo yuko Kiserikali zaidi
Bomba la mafuta lipo kweny ilani ya chama? Au kuna kipengele alichonukuu kutoka katka ilan ya chama?
 
Hii Serikali ya Magufuli inafanya vitu vingine hata havina mantiki.

Leo tena wamefanya kituko kingine cha aibu kwa kulazimisha Katibu Mkuu CCM Bwana Kinana naye aongee mbele ya hadhara kana kwamba hilo ni swala la chama cha CCM? Huu ndiyo upuuzi tunaousema unaofanywa na CCM kila kukicha.
Kila leo utamsikia Magufuli akisema MAENDELEO HAYANA CHAMA.....! Kama kweli maendeleo hayana chama kulikuwa na ulazima gani ya K/Mkuu CCM kuongea mbele ya hadhara kwa jambo ambalo ni la Kitaifa linalohusisha nchi mbili?

Mbona Rais wa Uganda Mzee Yoweri Kaguta Museveni hakuja na watu wa chama chake cha NRM(National Resistance Movement)? Ni kwa vile aliona hawana ulazima huo kwa vile siyo mahali pake.

Hii ni aibu na CCM badilikeni muache huu ujinga, siyo kila kitu ni Kampeni!!!
Kwani hii ni serikali ya Chama gani?Si ya CCM.Sasa kuna ubaya gani Katibu Mkuu wa Chama kinachoongoza serikali iliyoko madarakani akipewa nafasi ya kuongea katika shuhuli ya serikali yake?Haya ndiyo mambo tunayosema ni ya kitoto.Huu ni ukosoaji unaoandamana na wivu na usio na mantiki kabisa.
 
Kwani hii ni serikali ya Chama gani?Si ya CCM.Sasa kuna ubaya gani Katibu Mkuu wa Chama kinachoongoza serikali iliyoko madarakani akipewa nafasi ya kuongea katika shuhuli ya serikali hiyo.Haya ndiyo mambo tunayosema ni ya kitoto.Huu ni ukosoaji unaoandamana na wivu na usio na mantiki kabisa.
Yaan huu ulioandika ndio utoto kabsa......Serikal co chama wala chama sio serikali.....utafit wa TWAWEZA na IQ za mashabik wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Serikali ya Magufuli inafanya vitu vingine hata havina mantiki.

Leo tena wamefanya kituko kingine cha aibu kwa kulazimisha Katibu Mkuu CCM Bwana Kinana naye aongee mbele ya hadhara kana kwamba hilo ni swala la chama cha CCM? Huu ndiyo upuuzi tunaousema unaofanywa na CCM kila kukicha.
Kila leo utamsikia Magufuli akisema MAENDELEO HAYANA CHAMA.....! Kama kweli maendeleo hayana chama kulikuwa na ulazima gani ya K/Mkuu CCM kuongea mbele ya hadhara kwa jambo ambalo ni la Kitaifa linalohusisha nchi mbili?

Mbona Rais wa Uganda Mzee Yoweri Kaguta Museveni hakuja na watu wa chama chake cha NRM(National Resistance Movement)? Ni kwa vile aliona hawana ulazima huo kwa vile siyo mahali pake.

Hii ni aibu na CCM badilikeni muache huu ujinga, siyo kila kitu ni Kampeni!!!
Huwezi kutenganisha afanyayo Magufuli na ilani ya ccm,utapata kiungulia ndugu
 
Kila kitu unataka ukosea we vipi ndugu choyo sitakuua huna jema kwan mamngap yameongelewa ya maana mbona wanzish uzi machadema bhana
 
Siku zingine mnapojua kuwa mnakuja humu JF muwe mnajua kuwa siyo Wote humu ni Wapumbavu labda kama mlivyo. Vitu vingine wala huwa haviitaji Diploma, Degree, Masters na PhD kuvielewa bali vinahitaji tu common sense ambayo kwa bahati mbaya sana naona Kwako Mwenyezi Mungu alisahau kuiweka.

Hivi unavyoshangaa Katibu Mkuu wa CCM Kinana kuzungumza pale unataka kusemaje labda? Hivi Serikali iliyo chini ya Rais Dkt. Magufuli ipo chini ya Chama gani? Huo Mradi wa Bomba hilo la Mafuta una uhakika kwamba utekelezwaji wake si moja ya Kipaumbele cha Serikali ya CCM hasa katika masuala ya Madini na Mafuta nchini Tanzania? Tafuta ILANI ya CCM ya 2015 hadi 2020 ili ujue Vipaumbele vyao ni vipi.

Unaposema kwamba mbona Rais Museveni nae hakuja na Watu wake wa Chama chake cha vuguvugu cha NRM una maanisha nini? Hivi hujui kwamba hao wote ( Delegation ) yake ( Museveni ) wote ni Viongozi wa ngazi mbalimbali ndani ya Chama chake hicho tawala cha NRM? Hivi ulitaka Rais Museveni ambaye Kiitifaki hapa Kwetu Tanzania ni Mgeni mwalikwa nae aje na Viongozi wake wa NRM? Sasa ili ujione kuwa Wewe ni Mtupu Kichwani subiria zamu ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ambayo itafanyika sasa kwa upande wa Uganda huko Hoima uone kama Rais Museveni na Yeye hatowaalika Viongozi wake wa NRM kuzungumza na Wananchi.

Hivi ni kwanini Mwenyezi Mungu alitupa Zawadi hii ya Akili / Kufikiri vizuri sisi Watu wachache tu na wengi hakuwapa?
Kujidhalilisha huku unalipwa au unajitoa fahamu kaka yake na mama?

Museven mwenye mradi wake alishindwa kumlipia nauli Katibu mkuu wa NRM? Sio kila jambo ni la kuambatanisha na chama chenu jamani, wengine hatuna vyama mnakera.

Kama ni kutafuta kick this is too much. Na wale waCCTV nao pale ndio jukwaa la mijadala hiyo? Museven alikuja kusikiliza hayo au ndio tunawakilishwa? Duh!
 
Kwa kifupi tu shughuli yote ya leo inaonekana kama imewakera upinzani!!! Naona thread nyingi mnambwera mbwera sana hata hamweleki mnasema nini ,ila shughuli ndo bado mbichiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Serikali ya Magufuli inafanya vitu vingine hata havina mantiki.

Leo tena wamefanya kituko kingine cha aibu kwa kulazimisha Katibu Mkuu CCM Bwana Kinana naye aongee mbele ya hadhara kana kwamba hilo ni swala la chama cha CCM? Huu ndiyo upuuzi tunaousema unaofanywa na CCM kila kukicha.
Kila leo utamsikia Magufuli akisema MAENDELEO HAYANA CHAMA.....! Kama kweli maendeleo hayana chama kulikuwa na ulazima gani ya K/Mkuu CCM kuongea mbele ya hadhara kwa jambo ambalo ni la Kitaifa linalohusisha nchi mbili?

Mbona Rais wa Uganda Mzee Yoweri Kaguta Museveni hakuja na watu wa chama chake cha NRM(National Resistance Movement)? Ni kwa vile aliona hawana ulazima huo kwa vile siyo mahali pake.

Hii ni aibu na CCM badilikeni muache huu ujinga, siyo kila kitu ni Kampeni!!!
Mtaisoma namba. Kumbuka daima kuwa Serkali ni ya Chama kinachotawala; Chama ni juu ya serkali. Col. Kinana anasherehekea matunda ya ushindi; serkslu ya CCM inatekeleza ilani za CCM.
 
Back
Top Bottom