engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
tumebaki na uswahili ti.Also uteuzi wa kisiasa kwenye shirika la ATC umetuponza.
Kenya airways wanatuletea Watz toka ulaya na viceversa.
Hatuna ndege yetu inayotua viwanja vya Europe,except ya mkulu !!!!!
PAmoja na njaa na poverty,WaEthiopia ,wamekuwa professional.
Kweli nimeshangazwa sana na hoja yako, jamaa anauliza kwa nini serikali yetu inashindwa kuwa na shirika la ndege la uhakika? Wewe unabaki kumkosoa tu, naona mara nyingi unakosoa bila kutafakari kwa kina? Hivi ina maana serikali inashindwa na Precision Air line kweli ki utawala? Naungana na mtoa mada ni aibu kwa serikali kutokuwa na shirika la ndege la uhakika?Nawashangaa sana waTanzania wanaoilaumu nchi au serikali ikishindwa kufanya kitu, hivi wewe badala ya kulalama kwa nini usianzishe shirika la ndege, wenzako wakiona mapungufu sehemu fulani huwa wanachukuwa hiyo fursa kufanya kweli, mfano walioanzisha Precision Air, hawa wameona fursa wakaanza wala hawakuleta maneno wala hoja za kijinga. Sasa wako mbali na wanakuwa haraka haraka. Yupo pia yule Mtaliani/ Mtanzania mwenye slipway, kaona fursa kaanzisha kampuni yake ya ndege (Coastal) na sasa ina videge zaidi ya ishirini na inaendelea kukuwa.
Wacha porojo, fanya kweli. Tanzania kuna fursa kibao, asiyeziona hizo fursa, atabaki humu JF kulalama tu.
Usingoje Serikali ikufanyie kila kitu. Wewe unajifanyia nini? na unaifanyia nini nchi yako?
Mkuu Majimshindo soma tena thread ya engmtolera kabla ya kututoa kwenye main point. Aibu kweli kwa Tanzania kwavile hata ATC yenyewe tumeambia ina ndege mbili na kati ya hizo moja inafanyiwa matengenezo SA kwa mujibu wa taarifa ya kamati ya bunge mwezi uliopita. Pia kinashoshangaza zaidi ni kwamba ATC inazo ndege mbili lakini inawafanyakazi 155. Kwa mantiki hiyo basi tunasema ni aibu kwa tanzania kutokuwa na uwekezaji kwenye eneo hili la usafiri wa anga. Aibu tena aibu kweli kweli tumepitwa hata na Rwanda, Burundi, Kenya, na Ethiopia etc.
Kweli nimeshangazwa sana na hoja yako, jamaa anauliza kwa nini serikali yetu inashindwa kuwa na shirika la ndege la uhakika? Wewe unabaki kumkosoa tu, naona mara nyingi unakosoa bila kutafakari kwa kina? Hivi ina maana serikali inashindwa na Precision Air line kweli ki utawala? Naungana na mtoa mada ni aibu kwa serikali kutokuwa na shirika la ndege la uhakika?
Vitu vingine ni lazima utumie akili, hivi unafikiri ni watu wangapi wenye mawazo lakini wanakwama mitaji? Wewe unaona ukiona kuwa serikali inakosea sehemu fulani unaweza ku - take advantage kirahisi?
Kaka usifananishe nyau na simba,hao wahabeshi wametuzidi si kwa ndege na mambo ya aviation tu hata utalii,nchi yetu na raia wake ni kama tuna laana vile kazi yetu ni kushabikia mambo ya kipuuzi tu kama vile maandamano ya kumuunga Gadaffi oh hapo ndio utawajua wa TZNdugu wana JF,imenibidi niuluze hili swali ili niweze kupata jibu lake,
nashindwa kuamini nchi kubwa kama Tanzania yenye uwingi wa watu na mali asili tunashindwa na nchi kama ETHIOPIA?
Bado sina jibu tanzania na ndege zetu mbovu hadi lini? Ni lini nasi tutakuwa na safari za nje ya Tanzania ukiacha safari za hapa Afrika?
Ethiopian Air Lines, oftenly referred to as simply Ethiopian, is an airline headquartered on the grounds of Bole International Airport in Addis Ababa, Ethiopia.[2] It serves as the country's flag carrier.[2] The company is wholly owned by the Government of Ethiopia.[2][4] Its hub is Bole International Airport,[5] from which the airline serves 60 international destinations and 17 domestic.[2] The company flies to more destinations in Africa than any other airline.[4][6] Likewise, it is one of the few Sub-Saharan profitable airlines,[4] as well as one the fastest growing airlines in the industry.[7][8] The airline's cargo division has been recently awarded The African Cargo Airline of the Year.[7][8][9]
Under Skytrax's five-star ranking system, Ethiopian's service merits three stars.[10] Ethiopian is a member of the African Airlines Association. The airline does not currently participate in any airline alliance, although it was accepted as a future Star Alliance member in late September 2010.[11]
hayo ni mambo ya etiopia airlines
Je ni lini Bongo tutaondokana na ubabaisha ktk maswala ya usafirishaji kwa njia ya anga?
Nawashangaa sana waTanzania wanaoilaumu nchi au serikali ikishindwa kufanya kitu, hivi wewe badala ya kulalama kwa nini usianzishe shirika la ndege, wenzako wakiona mapungufu sehemu fulani huwa wanachukuwa hiyo fursa kufanya kweli, mfano walioanzisha Precision Air, hawa wameona fursa wakaanza wala hawakuleta maneno wala hoja za kijinga. Sasa wako mbali na wanakuwa haraka haraka. Yupo pia yule Mtaliani/ Mtanzania mwenye slipway, kaona fursa kaanzisha kampuni yake ya ndege (Coastal) na sasa ina videge zaidi ya ishirini na inaendelea kukuwa.
Wacha porojo, fanya kweli. Tanzania kuna fursa kibao, asiyeziona hizo fursa, atabaki humu JF kulalama tu.
Usingoje Serikali ikufanyie kila kitu. Wewe unajifanyia nini? na unaifanyia nini nchi yako?
Mawazo kama haya ni ya watu waliokunywa maji ya bendera mpaka damu yao imekuwa ya kijani. Maanake nina hasira, siwezi kuendelea.
Mkiambiwa kweli hasira, hivi, kinakushinda nini kuanzisha shirika la ndege? Lile la nyerere ndio limekufa kama yeye mwenyewe. Wewe unangoja nini? Mbona waTanzania wengi tu wameanzisha, hao nilowataja hapo juu na wengine wengi sijawataja.
Hivi mtangoja mfanyiwe na serikali mpaka lini? Mbona kuanzisha ma disko hamngoji serikali
kweli wewe maji mshindi,hehehehehe,hewa mshindo,maneno mshindo,hehehehe,kazi kweli kweli
Mkiambiwa kweli hasira, hivi, kinakushinda nini kuanzisha shirika la ndege? Lile la nyerere ndio limekufa kama yeye mwenyewe. Wewe unangoja nini? Mbona waTanzania wengi tu wameanzisha, hao nilowataja hapo juu na wengine wengi sijawataja.
Hivi mtangoja mfanyiwe na serikali mpaka lini? Mbona kuanzisha ma disko hamngoji serikali?
Ndugu wana JF,imenibidi niuluze hili swali ili niweze kupata jibu lake,