Aibu kwa ofisi ya bunge!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu kwa ofisi ya bunge!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtumishi Mkuu, Jun 6, 2011.

 1. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu, kesho tarehe 7 Juni 2011 vikao vya Bunge la Bajeti vinaanza ambapo waheshimiwa watakuwa na kazi ya kuijadili na kuipitisha (kama kawaida maana uthubutu wa kuikataa haupo....) bajeti itakayowasilishwa na waziri wa fedha na uchumi. Ningetegemea angalao leo nikitembelea tovuti ya Bunge niweze kuona ratiba ya vikao hivyo. Ila cha kusikiktisha naona kwenye ubao wao wa matangazo humu kwenye tovuti yao wameweka tangazo la vikao vya bunge la Aprili ambavyo vilishafanyika.

  Napata maswali kadhaa katika hili, mosi, ofisi ya bunge inawezekana haina mtu wa IT, pili, yupo mtu ambaye anatakiwa kuifanya hii kazi ila kwa uzembe tu na anajua hatafanywa chochote ameamua kukaa kimya, tatu, ofisi haitaki umma ujue mwenendo mzima wa shughuli zake utakavyokuwa, nk

  Uwazi wa taarifa ni tatizo ambalo linashika kasi na hata pale ambapo hakuna sababu ya kuficha taarifa bado wahusika wanaona shida kuwapatia walaji taarifa husika!
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwanza bunge lenyewe lina spika au matapishi tu!!! yaani usinitie hasira bana
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  IT yuko humu jukwaa la wakubwa full time.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Umeshasikia kauli ya Mama Makinda, the speaker, au John Ndugai, D/speaker, au yule katibu wao maarufu Dr. Kashilila kuhusu kukamatwa kwa mbunge na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wakati vikao vya kamati za bunge vinaendelea?

  Najua watasema kwamba mahakama kama mmojawapo wa mhimili mkuu wa Dola ni huru, hivyo wao kama viongozi wa bunge (mhimili mwingine) hawawezi kuingilia uhuru wa mahakama. swali je, kama ndivyo, kwa nini waliruhusu wakuu wa mikoa na wilaya ambao kimsingi wanatokana na utashi wa kisiasa wasimamie nidhani za mahakama? Huko si kuingilia uhuru wa mahakama? On this particular case, ofisi ya bunge na wizara ya sheria (celina kombani) can not have it both ways. they either believe in the separation of powers or they dont.
  Talk of self-inflicted injuries.
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Wanategemea zaidi Uhuru na Mzalendo
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mtumishi Mkuu, si kwamba ni uzembe wa watuw a IT. Ratiba ya Bunge haijakamilkia kwa sababu kikao ya Kamati ya Uongozi hakijakutana kama ilivyopaswa kwa sababu Kiongozi wa Upinzani hakuwepo. Hata hivyo, baada ya kuachiwa kwa dhamana, Mbowe alimpa ruhusa Spika wanedelee na kikao hicho bila ya yeye kwa sababu hataki kukwamisha masuala ya kitaifa kwa kulazimisha wamsubiri yeye mtu moja tu, kwa hiyo kikao hicho kinaweza kufanyijka jioni yab leo na tariba ikatolewa kesho asubuhi.
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaa haaaa nimecheka sana Mkuu wa Kitengo cha IT anaingia humu JF anashinda kwenye Jukwaa la Maria Roza!
   
 8. P

  Penguine JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Thank u for the lesson to our member.
  The threadman went into WHAT (ratiba haipo kwenye tovuti) without exploring WHY (kwanini haipo). Umemsaidia sana kwa maelezo hayo
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli!!!!!!!!!!!
   
 10. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha ha
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  unajua ukweli mwingine tuwe tunaufunika kidogo... teh teh teh teh
   
Loading...