Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Labda wana mipango yao si unajua dual carriageway inahitaji taa za tofauti na zile za single...Tuone watafanyaje ila tuendelee kuwapa presha hivyohivyo.sawa ila kama ile ya makongoro imeisha kabisa n double road taa ni za muhimu
kwa hiyo ya nyegezi labda tuseme wanaifikiria kuipanua