Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

Wakuu, nasikitika sana kuona jinsi hao mabondia Wabongo (kweli mimi nawaita panya road) wanavyogongwa knock out nyepesi tu. Hivi wametoka wapi hawa? Huyo wa pili karibu afe ulingoni round ya kwanza tu.

Kweli kwenye mapambano muhimu kama haya yanayotazamwa duniani kote tunapeleka mabondia wa ajabu ajabu kuichafua tasnia ya boxing Tanzania?

Nani kahusika na hujuma hii?

Kweli hii ni aibu kabisa. Lakini kwa nini ukwenda huko kuwatetea? Au kwa nini ukwenda wewe kupambana?

NB:
Kwenye pambano lolote kuna mambo matatu,
1: Kushinda
2: Kushindwa na
3: Kutoa droo

kwa hiyo hapo wameangukia tu kati ya hayo matatu
 
Huyu Suleiman ni mzanzibar namjua
 
Kweli hii ni aibu kabisa. Lakini kwa nini ukwenda huko kuwatetea? Au kwa nini ukwenda wewe kupambana?

NB:
Kwenye pambano lolote kuna mambo matatu,
1: Kushinda
2: Kushindwa na
3: Kutoa droo

kwa hiyo hapo wameangukia tu kati ya hayo matatu
Hatuongelei kupoteza pambano, tunaongelea aina ya upinzani walioonyesha. Walikuwa kama sio maboxer kabisa, elewa context
 
Back
Top Bottom