SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,088
- 75,524
Mnapambana kwa hoja? hoja gani? kutukana watu na kupeleka umbea ndio hoja?
Wewe tatizo lako haufatilii mikutano ya CDM, unadhani ukiwa kwenye laptop utajua yanayo endelea huku field?
Mitambo hiyo hiyo imenasa ccm wakigawa kombat za chadema kwa green guards wa ccm nyumbani kwa mgombea udiwani wa ccm Elerai.
Chezea chadema uone!!!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
WanaJF!
Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.
Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.
Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.
DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.

Kama huna muda wa mambo ya kitaifa una muda wa nini jnga kubwa wewe, nchi inayumba unatoa wapi kejeli?Duh! CHADEMA wanaangaika, wanadhani kila mtu ana muda?
Duh! CHADEMA wanaangaika, wanadhani kila mtu ana muda?
kaka au dada unafanyaga kazi sa ngap?
WanaJF!
Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.
Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.
Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.
DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.
Kama huna muda wa mambo ya kitaifa una muda wa nini jnga kubwa wewe, nchi inayumba unatoa wapi kejeli?
kuna gharama kubwa kuja kulikomboa na kulirudisha taifa kwenye mstari kwa kazi hii muifanyayo ya kupadikiza chuki za udini, ukanda na ukabila.Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu
kaka au dada unafanyaga kazi sa ngap?
Wakuu,
Nasikitika kuwafahamisha kuwa tumemfungia Mhe. Mwigulu Nchemba hapa JF kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na kuwatukana watanzania kwa lugha ya asili "Mazogolo mani"
Baada ya kufuatilia, tumebaini ni tusi baya ambapo limepoteza maana nzima ya bandiko lake. JF ina sheria zake na haziangalii cheo cha mtu, sura yake, chama chake, kabila lake wala dini yake. Sheria hizi zinatumika kwa wanachama wote waliojisajili JF.
Asanteni
Duh! CHADEMA wanaangaika, wanadhani kila mtu ana muda?
ebu tuambie ccm inamvuto gani?
Hii inatokana na chuki zinazopandikizwa na viongozi wa vyama vya siasa. Tanzania itazidi kupotea lazima wanasiasa wabadlike.
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu