Aibu kubwa kwa CHADEMA

Aibu kubwa kwa CHADEMA

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
WanaJF!

Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.

Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.

Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.

DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.
 
Duh! CHADEMA wanaangaika, wanadhani kila mtu ana muda?
 
siku zote mabadiliko huletwa na wachache....usihofie sana, wingi wa watu siyo jibu la kukubalika au la
CDM hawajawahi kufadhaika kwa uchache wa watu mikutanoni, ndiyo changamoto za kisiasa, ....sijui
kwanini iwe "AIBU KUBWA" ... hatushindani kwa idadi za watu mikutanoni tunapambana kwa hoja tuwaachia watanzania
waamue wenzetu nyie ... mna wakurugenzi wa miji na halmashauri ambao ndio wasimamizi wa chaguzi zote na hawa wanateuliwa na Waziri Mkuu aliyeteuliwa na Rais kutoka CCM, .... mnatakiwa kusemewa tu mmeshinda na inakua hivyo lakini wataka mabadiliko hawachoki kushiriki nanyi katika upendeleo wenu huo wa wazi wazi ..."MPAKA KIELEWEKE"
 
Inabidi tubadilishe mitazamo, hii mikutano ya vyama si kwa ajili ya wanachama au washabiki wa chama kilichoandaa mkutano bali ni kwa watanzania wote maana utajuaje mabaya au mazuri ya chama flani bila kuhudhuria mikutano yao, na ndio maana tumefika hapa chama flani kikiandaa mkutano wake waliojaa ni wafuasi wake tu
 
siku zote mabadiliko huletwa na wachache....usihofie sana, wingi wa watu siyo jibu la kukubalika au la
CDM hawajawahi kufadhaika kwa uchache wa watu mikutanoni, ndiyo changamoto za kisiasa, ....sijui
kwanini iwe "AIBU KUBWA" ... hatushindani kwa idadi za watu mikutanoni tunapambana kwa hoja tuwaachia watanzania
waamue wenzetu nyie ... mna wakurugenzi wa miji na halmashauri ambao ndio wasimamizi wa chaguzi zote na hawa wanateuliwa na Waziri Mkuu aliyeteuliwa na Rais kutoka CCM, .... mnatakiwa kusemewa tu mmeshinda na inakua hivyo lakini wataka mabadiliko hawachoki kushiriki nanyi katika upendeleo wenu huo wa wazi wazi ..."MPAKA KIELEWEKE"

Mnapambana kwa hoja? hoja gani? kutukana watu na kupeleka umbea ndio hoja?

Wewe tatizo lako haufatilii mikutano ya CDM, unadhani ukiwa kwenye laptop utajua yanayo endelea huku field?
 
Chadema ni roho,,,,,watanzania wana imani na chama hicho kuliko kelele za wanafiki wanaodhani ukombozi wa kweli unafikia bar au gest,,,, msitumie uwezo wenu wa kuandika kufuta hisia za watanzania,,,,, itawagharimu;
 
WanaJF!

Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.

Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.

Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.

DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.

shame on u...
 
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu mapimbi hawa

Una kiherehere utadhani mkojo wa asubuhi, unawaaaaashwa mwenyewe! Nakuona unabidii kweli!
 
WanaJF!

Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.

Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.

Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.

DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.

Kama umeona idadi ndogo nenda wewe na mumeo mkaongeze idadi...
 
Chadema haina mvuto Dar. Wale wanatamba wakiwa Arusha na Moshi. Haya ndiyo matatizo ya vyama vya ukanda na ukabila. Halafu eti wapewe nchi??!!! Watajaza wachaga tupu ikulu mapimbi hawa

taahira ni taahira tu,muulize mkuu wako KILAZA ni chama gani anakiogopa kuliko MOTO, atakwambia jinsi GENGE la mafisadi LINAVYO HAHA kutumia vyombo vya dola na watumwa kama WEWE kusambaza mtindio kama huu wako.wameshajaribu sana but upeo wao mdogo sana.jaribu kuwasaidia vilaza wenzio.ila nafikiri mnge anza na MAGAMBA kwanza.kidogo mnge aminika.
 
Mkuu mwaga picha hapa maana naona Tumain Makene amekataa kabisa kuweka picha kwenye thread yake ingawa juhudi kubwa tumeitumia ya kudai picha ila juhudi zetu hazijazaa matunda.

Teh teh teh, CHADEMA yaanza kuchokwa.
 
Last edited by a moderator:
WanaJF!

Nimepita hapa Manzese kwenye mkutano wa CHADEMA walio uandaa kwa ajili ya mjadala wa katiba mpya.

Jambo ambalo ni la kushangaza ni idadi ndogo sana ya watu utadhani wana hutubia kitchen party au send-off.

Ingawa kulikuwa na juhudi za kutosha katika kuutangaza mkutano huo, lakini watu wa Dar hawana muda wa kupoteza hivyo mwitikio umekuwa mdogo mno.

DALILI YA CHADEMA KUCHOKWA INA DHIHIRI.

sio situ niko manzese muda huu ni aibu nitatupia picha mjionee chadema imeaibika duu
 
taahira ni taahira tu,muulize mkuu wako KILAZA ni chama gani anakiogopa kuliko MOTO, atakwambia jinsi GENGE la mafisadi LINAVYO HAHA kutumia vyombo vya dola na watumwa kama WEWE kusambaza mtindio kama huu wako.wameshajaribu sana but upeo wao mdogo sana.jaribu kuwasaidia vilaza wenzio.ila nafikiri mnge anza na MAGAMBA kwanza.kidogo mnge aminika.

kumbe hukuweza kutibiwa tatizo lako la mtindio wa ubongo?
 
Back
Top Bottom