Aibu kubwa, CCM na Mtikila

wapinzani bwana badala ya kuwa lao moja kuitoa ccm wanasemana kweli kazi ipo kuleta mageuzi nchi hii huyu naye mpinzani wa kweli?

nccr ni wapinzani?tlp je?dp ni wapinzani?cuf?hivi vyote inawezekana kabisa ni ccm.chunguza.
 
Eti na yeye kwa kutumiwa na hao hao ccm akafungua kesi akidai mgombea binafsi wakati huo huo ana chama chake cha siasa sasa kwahilo anapata faida gani?
 

Unajianika kuonesha ujinga wako,email ya gmail una sema ni email ya CCM! Basi ingekua CCM.com tungesema kweli imetoka CCM,sasa gmail.com unasema ni ya CCM! Umburura katika IT ukakimbilia kuleta thread hapa JF!
 
Last edited by a moderator:
Mungu ana makusudi na mpango wa wananchi.Mtikila hiyo ndo biashara yake mjini.Ukimkatia kidogo hata kama mlikosana atakusafisha.

umenikumbusha alivyokula hela ya ROSTAM na kuumbuka baada ya kujifanya anamkandia baadaye!
 
Kwa hiyo tamko liliandaliwa na Nnape Mwandosya kisha likawekwa kwenye bahasha ya kaki na kiburungutu cha pesa Mtikila alichotakiwa ni kusaini anachukua mshiko halafu anakaa pembeni..kweli njaa mbaya sana...
 


Alishamaliza kulipa deni la RA?

Au ndiyo anaombewa msamaha?
 
kweli njia ya muongo ni fupi !mlikaa mda mrefu kuandaa ilo tamko ila mkasahau kitu kidogo tu(anuani) sasa inawaumbua
 

Huyu Huyu aliyekopa M Tano kwa Rostam
 
CCM... gmail.com ni sawa na CCM.. CCM.com???? Akili za kuambiwa Changanya na zako!
 
Last edited by a moderator:

hivi haiwezekani mtu aka download hiyo report na ku attach kwenye email yeyote ile na ikaonekana kama ni ya huyo mtu?? originally??? poor thinking
 
yaani ukajiona umepata bonge la point..kumbe umejidhalilisha tu
 
Tunashukuru kutujuza kumbe Mtikila ni CCM kweli Tz upinzani wa kweli ni CDM tu
 
Eti na yeye kwa kutumiwa na hao hao ccm akafungua kesi akidai mgombea binafsi wakati huo huo ana chama chake cha siasa sasa kwahilo anapata faida gani?

hii ya mtikila inanikumbusha mawe aliyokuwa anawarushia kina jitu patel na rostam kumbe ndiyo wafadhili wake.aliumbuliwa na receipt
 

Mkuu usipoteze muda kubishana na watu walioliwa ubongo na wadudu wa ccm wanaoitwa scania

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wapinzani bwana badala ya kuwa lao moja kuitoa ccm wanasemana kweli kazi ipo kuleta mageuzi nchi hii huyu naye mpinzani wa kweli?

Si wote wasemao BWANA BWANA....
Wengine ni wapinzani wa kuchonga ili kuchelewesha lengo!
Humkumbuki Mangosuthu Buthelezi alivyotaka Wazungu waendelee kuwemo Afrika Kusini?
Umesahau CUF ilivyoshirikiana na CCM bungeni kubadilisha kanuni za Bunge ili kulegeza nguvu ya upinzani?
Tunawatambua kwa matendo yao.......
 
Upande mmoja mtikila nyama na upande wa pili ni chuma!
 
Upande mmoja mtikila ni nyama na upande wa pili ni chuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…