Aibu kubwa, CCM na Mtikila

Aibu kubwa, CCM na Mtikila

GHULA

Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
77
Reaction score
66
Jana na juzi tumepokea katika mitandao na barua pepe mbalimbali Tamko la Chama cha DP kuhusu bomu la Arusha, licha ya kulisoma tamko hilo, wote mliotumiwa angalieni limetumwa kwa kutumia barua pepe ya CCMTANZANIAcontentsfolder@gmail.com Tujiulize nimeleta hapa haraka, kuna uhusiano gani kati ya CCMTanzania na Mtikila, Mtikila aulizwe kwanini ametuma barua pepe hiyo kwa kutumia anwani ya CCM waliandaa pamoja au aliandaliwa ili akasaini? Tunapeleka wapi nchi yetu? na Je CCM walikuwa wanaweweseka nini hadi wamwite Mtikila kutoa tamko la kusema Chadema wanahusika na Bomu la Arusha??? Tunaipenda nchi yetu, Serikali ichukue hatua.
 
tulijua hilo
 
Naona Unajaribu Kumuunganisha Mchungaji Christopher Mtikila na CCM,Kwa taarifa yako Mchungaji Mtikila ndio Mpinzani wa Kweli katika Nchi hii ambae kwa kutumia nguvu na akili zake ameweza kusimamia kidete na kutetea mambo yale yanayo husiana na Masrahi ya Taifa hili! Propaganda zenu zifike kikomo!
 
Mtikila ametumika sana na CCM.kwasababu CCM wanajua mtikila anaaminika kwa watanzania kuliko CCM yenyewe. kama unaweza kukumbuk mtikil alifutiwa kesi na CCM ili aweze kupinga ushindi wa DR Slaa. kwa hiyo wanapoteza muda bure. inamaana kama lile bomu angeshambuliwa rais askari wangeshindwa kumkamata yule mrusha bomu!
CCM inajimaliza yenyewe kalba hata ya kumalizwa
 
Naona Unajaribu Kumuunganisha Mchungaji Christopher Mtikila na CCM,Kwa taarifa yako Mchungaji Mtikila ndio Mpinzani wa Kweli katika Nchi hii ambae kwa kutumia nguvu na akili zake ameweza kusimamia kidete na kutetea mambo yale yanayo husiana na Masrahi ya Taifa hili! Propaganda zenu zifike kikomo!
Mtikila haunganishwi na Chama cha Mapinduzi, amejiunganisha mwenyewe, au ameunganishwa na CCM wenyewe ilikuwaje akatumia barua pepe ya CCM akatuma kwa watu, kama yeye sio makini kivile, wewe unamtetea katika lipi? barua pepe kagawa yeye na kusoma tamko, lakini tamko originally limetoka CCMTANZANIAcontentsfolder@gmail.com, wewe unayepinga ulikuwepo?
 
Naona Unajaribu Kumuunganisha Mchungaji Christopher Mtikila na CCM,Kwa taarifa yako Mchungaji Mtikila ndio Mpinzani wa Kweli katika Nchi hii ambae kwa kutumia nguvu na akili zake ameweza kusimamia kidete na kutetea mambo yale yanayo husiana na Masrahi ya Taifa hili! Propaganda zenu zifike kikomo!

Wewe humjui Mtikila vizuri.....naomba ukae kimya!
 
Naona Unajaribu Kumuunganisha Mchungaji Christopher Mtikila na CCM,Kwa taarifa yako Mchungaji Mtikila ndio Mpinzani wa Kweli katika Nchi hii ambae kwa kutumia nguvu na akili zake ameweza kusimamia kidete na kutetea mambo yale yanayo husiana na Masrahi ya Taifa hili! Propaganda zenu zifike kikomo!

Tangu lini sifa za wapinzani wa Tanzania zikatoka Lumumba ? Mmeumbuka , Shame !
 
Jana na juzi tumepokea katika mitandao na barua pepe mbalimbali Tamko la Chama cha DP kuhusu bomu la Arusha, licha ya kulisoma tamko hilo, wote mliotumiwa angalieni limetumwa kwa kutumia barua pepe ya CCMTANZANIAcontentsfolder@gmail.com Tujiulize nimeleta hapa haraka, kuna uhusiano gani kati ya CCMTanzania na Mtikila, Mtikila aulizwe kwanini ametuma barua pepe hiyo kwa kutumia anwani ya CCM waliandaa pamoja au aliandaliwa ili akasaini? Tunapeleka wapi nchi yetu? na Je CCM walikuwa wanaweweseka nini hadi wamwite Mtikila kutoa tamko la kusema Chadema wanahusika na Bomu la Arusha??? Tunaipenda nchi yetu, Serikali ichukue hatua.

Kuficha ukweli ni kazi kubwa! Unaona sasa wanazidi kujianika! CCM mfa maji!
 
wapinzani bwana badala ya kuwa lao moja kuitoa ccm wanasemana kweli kazi ipo kuleta mageuzi nchi hii huyu naye mpinzani wa kweli?
 
Asante mkuu kwa kuweka Kumbukumbu vizuri , Kila hila itajulikana .
 
Mungu ana makusudi na mpango wa wananchi.Mtikila hiyo ndo biashara yake mjini.Ukimkatia kidogo hata kama mlikosana atakusafisha.
 
Naona Unajaribu Kumuunganisha Mchungaji Christopher Mtikila na CCM,Kwa taarifa yako Mchungaji Mtikila ndio Mpinzani wa Kweli katika Nchi hii ambae kwa kutumia nguvu na akili zake ameweza kusimamia kidete na kutetea mambo yale yanayo husiana na Masrahi ya Taifa hili! Propaganda zenu zifike kikomo!

Ukiitisha uchaguzi leo, wagombea wa urais wawe wawili tu, Mtikila na Kikwete. Haki ya Mungu Mtikila anashinda Urais. Chadema inaamini pamoja na mtikila kuwa mchumia choo, bado wananchi wanamwamini sana ukilinganisha na wanavyoiamini CCM. Sasa badala ya kujipanga mkamtumia Mtikila vzr nyie mmekurupuka mkasahau kubadili email
 
Back
Top Bottom