Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye maelezo wanayotoa hawako clear hicho kiwanda chao cha kuchenjua Uranium kitalinufaishaje Taifa?
Kituko zaidi ukitaka kujua mradi huu ni usanii watu wanachenjua Uranium alafu hawana hata protective gears ukizingatia madini haya yanavyofahamika kwa kuwa na mionzi mikali.
No Reforms No Election ✊️ ✌️