Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.kitu kingine wanacholalamika wanawake ni kwamba wanaume wengi mna haraka sana mkifunuliwa paja tu mnachanganyikiwa kama kuku kamuona mwewe,sasa nashauri wanaume wenzangu mnapokuwa na wanawake wakazeni vya kutosha coz huko nje mpaka wanawataja majina kwamba wengi wenu nyie ni suruali na ndevu tu............wanadau angalau bao 4 hivi kidogo ndio wanaanza kujisikia akili yao imekaa vizuri.......maoni yenu wakina sasa na kina kaka tulizungumzie hili
Hao waongo kama ni suala la kumridhisha mwanamke halihusiani na bao nyingi unaweza kmridhisha kwa bao moja tu,na pia unaweza ukaenda hatazaidi ya hizo nne mpaka utoe damu na bado akawa hajaridhikabao 4 ndio wanaanza kujisikia vizuri..........
wengine ndio huwa hoi hapo
hao waongo kama ni suala la kumridhisha mwanamke halihusiani na bao nyingi unaweza kmridhisha kwa bao moja tu,na pia unaweza ukaenda hatazaidi ya hizo nne mpaka utoe damu na bado akawa hajaridhika
maana mnaweza kwenda raundi 10 na hakuna lolote[/QUOTE
Au moja tu wote mkaridhika...
Sasa kwanini wewe usingetesti zali ukawaambia kidume cha ukweli nipo hapaKuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.Kitu kingine wanacholalamika wanawake ni kwamba wanaume wengi mna haraka sana mkifunuliwa paja tu mnachanganyikiwa kama kuku kamuona mwewe,sasa nashauri wanaume wenzangu mnapokuwa na wanawake wakazeni vya kutosha coz huko nje mpaka wanawataja majina kwamba wengi wenu nyie ni suruali na ndevu tu............wanadau angalau bao 4 hivi kidogo ndio wanaanza kujisikia akili yao imekaa vizuri.......maoni yenu wakina sasa na kina kaka tulizungumzie hili
Kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.Kitu kingine wanacholalamika wanawake ni kwamba wanaume wengi mna haraka sana mkifunuliwa paja tu mnachanganyikiwa kama kuku kamuona mwewe,sasa nashauri wanaume wenzangu mnapokuwa na wanawake wakazeni vya kutosha coz huko nje mpaka wanawataja majina kwamba wengi wenu nyie ni suruali na ndevu tu............wanadau angalau bao 4 hivi kidogo ndio wanaanza kujisikia akili yao imekaa vizuri.......maoni yenu wakina sasa na kina kaka tulizungumzie hili
UmemalizaHao wanawake wa wapi wanaoshindwa kuzungumza na wenza wao ili waridhishwe badala yake wanaenda kulalamika nje..???
Kama huridhishwi tafuta namna njema ya kuongea na mumeo....!!
kwa sababu kila siku whanga wanazidi.wanakuja kuomba ushauri kwa njia nyingine.hizi mada kila siku zinajirudia...hamna mada zingine