cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,050
- 79,312
kuna popobawa huku niliko mzee
ha ha hameditation ya kifo? To hell maza fwanta
Hahahhhhaaaa. Hicho haswa ndo kimamsumbuaWaambie ukweli kuwa wewe ni cha pombe.
Tatizo huyu bwana haaminiki. Fuatilia thread zake.Waambie ukweli kuwa wewe ni cha pombe.
Hivi Konyagi baada ya kupigwa marufuku ndio inaitwa K Vant?kwenye jokofu hakukuwa na Kvant mkuu?
Kwa aliyoyafanya kuna haja ya kuambiwa au atie saini tu?Waambie ukweli kuwa wewe ni cha pombe.
Unajisikiaje sasa hivi?Hapana aisee
Nitoke EPL nkacheze daraja la tano kijijini Sigimbi?
Yaani eti hata kamshipa ka aibu hakapoUnajisikiaje sasa hivi?
Baada ya????? Nitose mwana kwetu ili nami nipate somo la dawa ya msongo wa mawazo. Dunia mbaya hii kwa sasa.Yaani eti hata kamshipa ka aibu hakapo
Ha ha ha ha ha bujibuji buana. Nipitishe kwenye uzi huo mkuuuNakumbuka thread yako ya makalio yako yanatingishika Sana...
Ngoja niutafuteHa ha ha ha ha bujibuji buana. Nipitishe kwenye uzi huo mkuuu
Mkuu unataka kufanyaje kwani au kumsaidia? Huo hapo chini ila unachekesha Sana majibu ya wadauHa ha ha ha ha bujibuji buana. Nipitishe kwenye uzi huo mkuuu
Ukweni unaenda na house girl wa kazi gani? Ama kutaka ku-"gain" sifa za ki-Nshomire?Ukweni kwa wakwe zangu
hahahaha long timeNakumbuka thread yako ya makalio yako yanatingishika Sana...