Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,375
- 169,409
Hamna makalio yasiyo tingishika, labda yatengenezwe kwa zege kali la sementi ya faruNakumbuka thread yako ya makalio yako yanatingishika Sana...
Ukweni kwa wakwe zanguWapi ukweni?..
Kwani mi magumashi wa Mataputapu?Utakua umelogwa wewe
Hapana aiseeKulikoni? Umetumbuliwa, umeachika, umeibiwa, umedhurumiwa, umekosa mpenzi au nini Buji? Pole lakini agiza rubisi ni bei chee.
Hehehe......mkuu umeuaaaNiko very stressed, almost nina zaidi ya wiki sijalala kwa mawazo.
Usiku uliopita nimeamka Saa tano tu, niko macho hadi sasa.
Niko ugenini, wenyeji wamenikaribisha nipate ahueni kidogo ya msongonongo wa mawazo.
Nimeamka Saa Tano kucheni gemu ya Atletico na Real Sociadad, mpaka muda huu numeua bia zote kwenye jokofu, St. Anna chupa tatu, Windhoek chupa sita, na Martin Cinzano's moja. Jokofu jeupeeee.
Tayari msichana wa kazi kaamka na kukuta makasha tupu sebulebi.
Sijui ntapata wapi liquorshop iko wazi kabla sijatia aibu Muleba hii
Daaah. Hata Mimi niliisoma.Nakumbuka thread yako ya makalio yako yanatingishika Sana...
Daaah. Hata Mimi niliisoma.Nakumbuka thread yako ya makalio yako yanatingishika Sana...
Mtafute mshana akuelekeze ni aina gani ya meditation ufanye ili uondoe hizo stressKwani mi magumashi wa Mataputapu?
meditation ya kifo? To hell maza fwantaMtafute mshana akuelekeze ni aina gani ya meditation ufanye ili uondoe hizo stress