http://www.bot-tz.org/AboutBOT/BoardOfDirectors.asp
Kama kumbukumbu zngu ziko sahihi Ndugu Grey S.Mgonja tayari alistaafu Ukatibu wa Hazina na ana kesi mahakamani kwa kushutumiwa kuiingiza serikali kwenye hasara ya Mabilioni ya shilings,sasa inakuwaje ukifungua tofuti ya BOT ukute yeye bado ni mmoja wa "Members of The Board of Directors"Nafasi/cheo cha ukatibu wa Hazina ndo kinamfanya mtu aingie kwenye hiyo board,sasa inkuwaje sura,jina na picha yake iendelee kuwepo pale na yeye hana sifa za kuwepo hapo anapoonekana!!!!
Nasema AIBU hii iwakute kuanzia Gavana hadi Mkuu wa kitengo cha teknolojia na habari na mawasiliano wa BOT haiwezekani kufanya mambo ya Ajabu kama haya...hivi watanzania ni lini tutakuwa mbele kujali mambo ambayo yanaigusa nchi yetu..ebu tuamke katika utendaji wa kazi zetu...
sasa wakati umefika watanzania tuamke!!!!!
Yes hajawa proved guilt ila si katibu wa Hazina hivyo hatakiwi kuwepo pale kwa sasa anayetakiwa ni katibu wa sasa wa Hazina!!!Kijana bado hajawa proved guilt of committing that offense,umesahau ya Mramba bado ni mbunge mpaka court iprove kuwa yuko guilt
Hapo kwenye sheria na taratibu, ndipo panatakiwa kupatia tiba mjarabu. Tukianzia na sheria mama yaani katiba inayohubiri ujamaa ili hali ujambazi kwa kasi ndo unatekelezwa.Unachoweza kuzugumzia ni sheria zinazoambatana na namna wajumbe wanapatikana na wajumbe wanavyoweza poteza sifa, na siyo teknolojia ya mawasiliano ya benki kuu
Nenda kwenye wensite ya Tume ya Uchaguzi, habari iliyowekwa kuwa ni motomoto inahusu uchaguzi mdogo wa jimbo la Tunduru! Tanzania zaidi uijuavyoMawebsite mengi ya serikali yako hivyo hiyvyo..
Nenda kwenye website ya bunge letu, utakuta wabunge marehemu wa 2007 bado ndo wanawakilisha!..lol!
http://www.bot-tz.org/AboutBOT/BoardOfDirectors.asp
Kama kumbukumbu zngu ziko sahihi Ndugu Grey S.Mgonja tayari alistaafu Ukatibu wa Hazina na ana kesi mahakamani kwa kushutumiwa kuiingiza serikali kwenye hasara ya Mabilioni ya shilings,sasa inakuwaje ukifungua tofuti ya BOT ukute yeye bado ni mmoja wa "Members of The Board of Directors"Nafasi/cheo cha ukatibu wa Hazina ndo kinamfanya mtu aingie kwenye hiyo board,sasa inkuwaje sura,jina na picha yake iendelee kuwepo pale na yeye hana sifa za kuwepo hapo anapoonekana!!!!
Nasema AIBU hii iwakute kuanzia Gavana hadi Mkuu wa kitengo cha teknolojia na habari na mawasiliano wa BOT haiwezekani kufanya mambo ya Ajabu kama haya...hivi watanzania ni lini tutakuwa mbele kujali mambo ambayo yanaigusa nchi yetu..ebu tuamke katika utendaji wa kazi zetu...
sasa wakati umefika watanzania tuamke!!!!!
Nashukuru hata mimi nimeiona hiyo tayari,waungwana tubadilike katika utendaji wetu....Naona jamaa ujumbe wako umewafikia. Wame-update website yao tarehe 27 Nov. 2009. Sehemu iliyokuwa ya Mgonja haina picha wala jina ina maandishi tu kwa chini yanayosomeka "Permanent Secretary to the Treasury (URT"
ni kweli ujumbe wake unatokana na nafasi aliyokuwa nayo. na sasa ameshastaafu, lakini ujumbe wake utakoma pale muhula wake utakapomalizika ndani ya bodi, kwa mfano kama ujumbe ndani ya bodi unadumu kwa miaka mitano, na yeye alistaafu 2007, na ujumbe wake ndani ya bodi ulipitiwa 2006, pamoja na kustaafu kazi yake ya msingi 2007, yeye atatumikia bodi mpaka 2011, yaani mwisho wa miaka yake mitano.aidha kama angekuwa amepoteza ukatibu wake kwa sababu za kinidhamu basi hapo angekoma kuwa mjumbe maramoja.
tunajua anakesi mahakamani , ikumbukwe yeye ni mtuhumiwa, na si mhalifu. hivyo huyu ndugu ataendelea kuwa mjumbe wa bodi. unachoweza kuzugumzia ni sheria zinazoambatana na namna wajumbe wanapatikana na wajumbe wanavyoweza poteza sifa, na siyo teknolojia ya mawasiliano ya benki kuu