The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Yaani sisi bado sana kwa kweli,utajisaidiaje kwenye kituo cha basi jamani,kabla ya vituo hivyo walikuwa wanajisaidia wapi?ila pia inatakiwa kuwe na wafanya usafi,ila jamani waweke ulinzi ili watu wasijisadie kabisa,yaani sisi watu weusi bila viboko ni sio wastaarabu hata kidogo
Akili tunayo tatizo ni uvivu wa kuzitumia tu.Na pia self dispiline ndio zero kabisaTatizo kubwa la Watanzania au niseme Waafrika ni akili. Walio wengi "majority" ni finyu kupita kiasi.
Mambo yetu yote ni hovyo kabisa.
Tafuta lakuongea upunguze ujuhaCcm imeharibu sana watanzania
Hapo ndipo ulipo dhihirisha umbumbumbu wako..... Huna tofauti na hao wanaokojoa kwenye hizo sehemu...Ccm imeharibu sana watanzania
afadhari hyo tumejua je yule wa elim ya hapa na pale, si ndo mzigo kabis?Watazoea Tu Ata uwanja wa Taifa ilikua hivyo hivyo mwanzoni. Dah mbunge Ana div 4 point 33 ! Only in Tanzania where wonders can't cease.
Hivi vituo vya kawaida havina vyoo pia mbona hawashushi mizigo yao hapoInasemekana vyoo vipo lakini muda wote vimefungwa kwa sababu utaratibu wa kuvisimamia haujaandaliwa!!....lol makubwa haya
Ni sawa na mtu unaanzisha biashara ya nyumba ya kulala wageni, hotel au bar unakuwa huna choo!!
Hivi vituo vya kawaida havina vyoo pia mbona hawashushi mizigo yao hapo
Sisi watanzania/Afrika ni bure kabisa kwenye mambo mengi usafi moja wapo.
Bila kubadilika hatutafika popote.
Vyoo vipo labda tu havijaanza kutumika lakini hiyo pia sio sababu ndio maana nikasema mbona vile vingine havina vyoo na vingine hata paa au sehemu ya kukaa hamna mbona hawashushi mizigo hapo.Mimi niko zangu kwetu Shinyanga mkubwa. Haya mambo tunayasoma na kuyaona kupitia media tu
Una maanisha ktk vituo cha mabasi hayo hakuna vyoo kabisa?
Nilitazama taarifa ya habari ITV jana wakionesha jinsi watu wanavyojisaidia hovyo na wengine kwenye chupa za maji poa.
Sina hakika sana iwapo hii ilikuwa ndani ya bus au ktk vituo vya mabasi haya
All in all ni kwamba wahusika walipohojiwa walisema utaratibu wa kutumia hivyo vyoo ulikuwa haujakamilika na kwamba wanaongea na watu wa DAWASCO kwa ajili nadhani kuunganishiwa huduma ya maji ili j3 kesho vyoo hivyo vianze kutumika!!
Sasa nashangaa kusema hapa hakuna vyoo ktk vituo hivyo!!
Vyoo vipo labda tu havijaanza kutumika lakini hiyo pia sio sababu ndio maana nikasema mbona vile vingine havina vyoo na vingine hata paa au sehemu ya kukaa hamna mbona hawashushi mizigo hapo.
Za Shinyanga lakini, kwema? Karibu Dart bwana.
Poleni sana Nasikia Songas wamegoma kuuza umeme kwa Tanesco, Tuvumilie tuShy ni poa kabisa, hatuna umeme leo bwana sijui kuna nini tu.
Ishu ya umeme huku kwetu ni karibu miezi mitano sasa, kila jumapili tunakuwa hatuna kwa takribani masaa 16 kuanzia saa 12asb hadi wakati mwingine saa 3usiku!
Back to the topic;
Inawezekana mizigo ilikuwa haishushwi kutokana eneo kuwa la wazi tofauti na stend za mabasi ya DART zenye vikona kona na sehemu zingine giza kiasi ambacho mtu aweza kufanya mambo yake tu na kujisitiri!!
Asa hapo unatudhalilisha tumeshasikia suala la kujisaidia vituoni tunajirekebisha haya mengine yanatoka wapi!Wakati mwingine uwa nashindwa kuwaelewa watanzania wengine wanajisadia Garden daah!!