AIBU: CCM Iringa wasomba wanafunzi kumpongeza Rais

Mimi ni mkazi wa manispaa Iringa nipo likizo lkn nliombwa nirejee kuungana na Mkuu wa mkoa kumpongeza Mkuu wa nchi,,,SMS hii apa

Mkuu wa Mkoa, Mh. A. Masenze, ametupa mwaliko wa kuungana na wananchi wa Iringa ktk kumpongeza Mh. Rais J. P. Magufuli kwa utendaji. Ni Jumamosi, trh. 24. 6. 2017 saa 2. 00 kuanzia manispaa hadi Mwembetogwa. Kutakuwa na mada zitakazowasilishwa na wanazuoni mbalimbali. Tushiriki.
 
Mimi ni mkazi
wa manispaa Iringa nipo likizo lkn nliombwa nirejee kuungana na Mkuu wa mkoa kumpongeza Mkuu wa nchi,,,SMS hii apa

Back
Top Bottom