AI video generator applications za gharama nafuu

NImebahatika kupata nafasi ya kupeleka demo sehemu 2 ila isopungua hizo episodes nilizotaja lkn wanajua ni Ai generated kwa asilimia kubwa.

Nikisema niandae na normal production company ukweli nitahitaji budget isopungua 150M na labda nitahitaji kufanya kazi na wakenya au wa south Afrika.Wabongo sidhani wataweza ku deliver kinachotakiwa.Wabongo hawako seriius na kwenye suala la muda ni vichomi.

ASANTE๐Ÿ™
Ukija zawadi ziwe double
 
Duh kama vile upo serious, safi sana mamaa ๐Ÿ”ฅ
 
You are very right mkuu
 
Hizi zote gharama nafuu
 

Attachments

  • IMG_3555.jpeg
    137.1 KB · Views: 2
  • IMG_3556.jpeg
    165.2 KB · Views: 2
  • IMG_3557.jpeg
    155.5 KB · Views: 1
  • IMG_3558.jpeg
    152.7 KB · Views: 1
Duuh mm sio expert aisee, ila hiyo 150M jau!

Inategemea na participants ila kama ni ya kawaida tu.. Kiasi hicho unapigwa.

Ila sikatai, depends na mandhari pia.

Anyways wishing you the very best

Unataka nije na zawadi double ila shem anisanukie kijana wa watu sina makuu?
 
Mimi naona bora mtu utengeneze animation kuliko AI generated video...

Ila sawa, tu kila mtu na mapendeleo yake
 
Njia ni hizo hizo kivipi wakati wewe umesema unaweza kutengeneza kwa gharama chini ya hii?๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Ukinieleza jinsi yakupunguza hii gharama iwe japo 2M ndo utakua umenieleza vizuri๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Naomba hizo mbinu kabla watoto wangu hawajaanza kukulikia ukapata laana๐Ÿ˜ƒ
 
Mm naona yupo sahihi, video production ya maana inakula pesa knoma mzee wangu, ndo wana wengine wanachanganya Ai na real shooting
 
Ah na mm sitaki madogo wanipe laana ๐Ÿ˜‚

Kwan ww hizo gharama za 6m ulipataje?
 
Hy video nmeichek YouTube hapa chap chap ili nikujibu vzr, so hizo sehemu za kushikana sijaziona so Labda n kweli walitumia Ai ila sehemu zile nyngn zote za beach n real production.
Kaka labda ningeomba jambo moja kaka kwako kuhusu nyimbo yangu nilie record, wewe unitengenezee cartoon ya kichekesho kupitia hiyo nyimbo yangu
 
prida nakumbuka nilikuambia umsalimie Dogo ukishamleta duniani, Msalimie sana dogo letu ๐Ÿ”ฅ
Madogo wamegoma kupokea salamu zako hadi umpe mama yao mbinu za kupunguza gharama๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธโ€โžก๏ธ
 
Kaka labda ningeomba jambo moja kaka kwako kuhusu nyimbo yangu nilie record, wewe unitengenezee cartoon ya kichekesho kupitia hiyo nyimbo yangu
Nieleweshe vzr khs h ishu

Video ya kichekesho kwamba Kuwe na animation ya katuni ikibehave kulingana na nyimbo, then naongezea na some activities za ucheshi ndani yake?
 
Madogo wamegoma kupokea salamu zako hadi umpe mama yao mbinu za kupunguza gharama๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธโ€โžก๏ธ
Tatizo n mama yao amekaza kichwa wakat tayr nshampa hesabu yote ๐Ÿ˜‚

Hv hao madogo n wamekuja mapacha au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ