AI video generator applications za gharama nafuu

Kabisa.
Maana kuumbwa mwanamke sio michezo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.
Namshukuru mungu kuniumba mwanaume.na Wala sijawahi kujuta
Tuwaheshimu wanawake siku zote

"God Bless The Women"

In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
They don't run from anything
They stand and fight for what's right

[Chorus:]
Oh oh oh...
God bless the women

Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right

They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right

[Chorus: till fade]
 
Upo sahihi hapo kwenye Ai video hazina human touch, but Kufanya production ya halisi n gharama zaidi hasa kwa urefu wa hizo documentaries anazotaka, kuzimaliza hizo Usishangae ikagonga zaidi ya 30m kwa bajeti ya kujibana.

Ai video zipo poa ila ubaya wetu n kutokuwa makini na kupuuzia makosa yanayoonekana, na wengine wanakurupukia kutengeneza Ai video bila hata kujua namna ya kuzitengeneza ndo mana wengi wenu mnaona Ai video n za kifala.
 
Kwanza NIKIRI siko vizuri sana kwenye haya mambo ila ninajua kiasi chake coz nimejifunza for fun kama nilivyojifunza hivyo vitu vingine for fun kama ulivyo note.Na hii ni kwamba pia najua apps chache ambazo nimetumia kujifunzia.

Mchanganuo wa 6M ninaoweza kukupa ni kuwa mimi nimeizoea Kling ambayo nikilipia standard plan 28K napata credits 660 tu. Sasa hizi credits 660 labda kwa vile mimi sijui vizuri ila zinaniwezesha kutengeneza clip isozidi 5 min.Sasa documentary yangu kipindi chake kim9ja tu ni dk 25. na viko vipindi/episodes nyingi.Sasa kwa jinsi credits za elfu 28 zinatumika nikihesabu dkk zinatotumika kwenye vipindi vyote hadi makala ikamilike ndo roughly napata 6M.

Yes,Iam doing it for fun lakini sina uchumi wa ku waste all that amount just for fun.Pia mbali ya kupoteza hela pia napoteza muda,so pia lengo la kufanya hii makala ni kutaka kuwaonesha wanadamu kitu ambacho nataka kuwaonesha katika hii makala.Sasa sitaki kupoteza muda na pesa then niishie kutizama na mume wangu sebuleni kwetu.Ndoto ni dunia ione.Sasa kama sitafanikiwa kuuza atleast niwe nimepoteza muda tu sio na pesa pia.
 
Kaka shida sura zinaonekana tofauti , ingali ni mtu mMoja hapa anaonekana hivi aliekuja vile, angalia nyimbo ya jux sweat ni AI ile sijui ipi poa sana
 
Kweli.
MImi naomba tu kuelekezwa njia ya kupunguza gharama nifanye mwenyewe.
NIko chini ya miguu yako ila sikuchungulii kaka Mbaga๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Yes.
Ni gharama sana.
90% ya makala yote inakua AI generated videos.Still images zitakuwepo pia
 
Naomba unielekeze jinsi yakufanya kwa gharama nafuu.
Please kaka Mbaga๐Ÿ™๐Ÿ™
binafsi nimepiga hesabu ya hizo video + muda ntakaotumia + pesa za bando + pesa ya kulipia Ai let's say miezi miwili + pesa ya editing mana huwez kupata video ya AI ikiwa na dkk hizo 20+

So ukichek hapo utaona 6m n nyingi.

So hapo n ww mwnyw kuweka bajeti kulingana na hiyo hesabu hapo juu.

Hakuna uchawi, njia unazojua ww ndo hizo hizo zinazotumika.

Hapa nimekujibu vzr eee?
 
Kabisa.
Maana kuumbwa mwanamke sio michezo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.
Namshukuru mungu kuniumba mwanaume.na Wala sijawahi kujuta
Hujuti sbb umeumbwa mwanaume ila ungeumbwa mwanamke pia usingejuta sababu hata mimi sijutii kuumbwa mwanamke tena kufikiria kuwa ingekuaje ningekua wa kiume ni jambo la kutisha sana kwangu.

Tuendelee zetu na mada mkuu.
Nipe miongozo.๐Ÿ™
 
Kaka ingekua zenji, ungenitengenezea video zote za nyimbo zangu kaka namin ungenisevu sana, mbona ile ya jux ni AI na ipo poa
Umbali sio tatizo, tunaishi 2026 sio 1900s ๐Ÿ˜‚

Hata navy kenzo Angalia video zao za sasa kwenye albamu yao mpya, video zote zile n Ai labda kuna some real production kidogo imefanyika Ila almost n AI sasa kwa mtu ambaye hujui unaweza kudhani n real
 
Kaka changamoto itabidi tena mimi niingie gharama kufanya video shooting nikutumie wewe utengeneze ndugu yang huoni ni kaz mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ