You berra watch ur back.. si kila fursa ni fursa. Kuna fursanaHizo makala za dakk 220 ndo gharama yake utumie 6M.?
Nipe hiyo kazi nikufanyie kwa bei pungufu.
Unamjua Claude? Sijawahi kutengeneza videos.. natengeneza picha tu zenye captions.. claude ananibaruzia kinomaYa gharama nafuu ambayo hata mm natumia ni gemini ya 50k per month hii ina 1000 credit, hi nayo ipo safi tuu.
Zile za kutengenezea movie kama higgsfield yenyewe inakula $1.5 kwa video ya sekunde moja h n kama usipotegemea mambo ya credit, but ikitegemea mambo ya credit bc utatoa 70k kwa credit 600
All in all, gemini naona ipo simple kuitumia.
Sasa huyo Claude hafanyi video, n picha tuu kama chatgpt ๐Unamjua Claude? Sijawahi kutengeneza videos.. natengeneza picha tu zenye captions.. claude ananibaruzia kinoma
Chatgpt simkubali.. kazi yake ni 3/10Sasa huyo Claude hafanyi video, n picha tuu kama chatgpt ๐
Ungekuwa unafanya video ndo ungejua utamu wa higgsfield au gemini
Tatizo lako umenifikiria vibayaYou berra watch ur back.. si kila fursa ni fursa. Kuna fursana
Chatgpt humkubali?Chatgpt simkubali.. kazi yake ni 3/10
Nitawajaribu..
๐๐Ya gharama nafuu ambayo hata mm natumia ni gemini ya 50k per month hii ina 1000 credit, hi nayo ipo safi tuu.
Zile za kutengenezea movie kama higgsfield yenyewe inakula $1.5 kwa video ya sekunde moja h n kama usipotegemea mambo ya credit, but ikitegemea mambo ya credit bc utatoa 70k kwa credit 600
All in all, gemini naona ipo simple kuitumia.
Kabisa.Mie nimefurahi tumekuona tena hapa nikiamini zoezi la kujifungua limeenda vizuri. Zaidi, tunawatakia wewe, watoto na familia yote afya njema.
AI watakuja wataalam kwenye hiyo tasnia.
Tumetumia ya kulipia na akawa anafanya ufala tuChatgpt humkubali?
Moja kati ya AI zangu bora ni hiyo, labla uwe unatumia ya bure ndo hutoweza kuifurahia Ila chatgpt ya kulipia imenyooka kinoma haina vipengele.
Mfano unataka prompt za video, then umelipia hy chatgpt inakupa kitu kimenyooka
Hata picha nazo zimenyooka ukiwa na ya kulipia.
Hujatoka.Hongera Sana mkuu
Nilikutana na fundi rangi wa kike, mzuri Sana kwenye kazi yake.
Bahati mbaya au nzuri ni kwamba aliolewa na fundi mwenzetu na Juzi kati nilikuwa kwao amezaa watoto wawili na Sasa amekuwa mama wa familia nyumbani.
Amepigwa stop mambo yote ya saiti, kitu ambacho hata mimi bila shaka naweza kufanya kama nikioa mwanamke anayeingiliana na mambo ya saiti in direct
Wanawake mnapitia mengi Sana huko Saiti.
Samahani nimetoka Nje ya mada
Dah bc mm hajawahi kunizngua, sasa nyie cjui mmekwama wapi