MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,716
- 22,755
Hizo ni poor prompting skills ama wewe mwenyewe huelewi vizuri unachokitakakuna ideas nyingine ni ngumu kumuelezea ai akazifanya the way you think, so hapo itabidi u code wewe mwenyewe tu.
Hizo ni poor prompting skills ama wewe mwenyewe huelewi vizuri unachokitakakuna ideas nyingine ni ngumu kumuelezea ai akazifanya the way you think, so hapo itabidi u code wewe mwenyewe tu.
Ukiwa na mashine nzuri unaweza kuzi host local. Mfano hapa mimi nina macbook pro m3 max nimehost kadhaa na kuzifanyia majaribioKuna initiative yoyote bongo kuhost hizi open Weights?
Mimi nadhani tufikiri bila ya uwepo wa box, tufikiri kama ulimwengu "cosmic intelligence". Box linaweza kuwa rejeo tukajikuta tunarudi kwenye box tena....tuondondoe box kabisa halafu tuanze kufikiri, au vipi?Ndio mda wa kufikiri nje ya box huu
Hii nafahamu, naongelea model ambazo zinakufanya competitive, mfano Kimi k3Ukiwa na mashine nzuri unaweza kuzi host local. Mfano hapa mimi nina macbook pro m3 max nimehost kadhaa na kuzifanyia majaribio
View attachment 3676370
Sidhani kama tuna hizo resources.Hii nafahamu, naongelea model ambazo zinakufanya competitive, mfano Kimi k3