Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,805
- 3,087
Kumbuka mtu anaweza kufa hata kwa kunaswa kibao kimoja tu. Huenda alikasirika sana akamzaba vibao kadhaa kwa lengo la kumuadhibu bahati mbaya binti akapoteza maisha jambo ambalo halikuwa kusudio lake. Ww hujawahi kumpiga mtu yeyote au hata kumsukuma tu? Umewahi kuimagine kitendo hicho tu kinaweza kupelekea mauti?ukimuachia hela ndugu yako ya chakula akienda kulewa watoto wakabaki na njaa unamuua si ndio??? basi safi sana