Ahukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kumuua mke wake bila kukusudia

ukimuachia hela ndugu yako ya chakula akienda kulewa watoto wakabaki na njaa unamuua si ndio??? basi safi sana
Hapo si watoto kushinda na njaa pekee yake na wivu wa mapenzi umejificha humo. Mwanaume hasira zinakupata, alikuwa analewa na nani? Kawaida wanaume hatupendi mwanamke apige larger bila si kuwepo labda iwe sherehe za familia au ubarikio .
 
yap hapo nimekusoma
 
'kitu kidogo' kimetembea hapo……...jaribu na wewe kumuua mkeo ukione kitimtim, utaijua jamhuri ya watu wa tarantula ni nini!
wa wa nini..ah ah ah..
Btw, wapenda hizi kesi na wazee wenzangu,tutafute movies znye mfumo wa series,za Mcbride kuna plot nzuri za mahakamani na evidence
 
Maskini huyo.mama..! kuna maisha fulan huenda amepitia akaenda kutoa stress na mashoga pombe ikamzidia...dah..hii kwa watoto haitaftika maskini...dah..nimeumia sana..!
 
Mnaojadili kwa kukosoa maamuzi mnajua sheria? Wanaangalia mens rea. Kumpiga mtu mateke na ngumu imesababishwa na hasira hakukusudia kuu! Unafanya kitu after being provoked au unashindwa kujicontrol. Alikiri kosa kapewa adhabu stahiki. Ana young kids pia wanaohitaji malezi. Mahakimu na majaji wapo dunian kufanya kazi ya Mungu.
 
Hapo si watoto kushinda na njaa pekee yake na wivu wa mapenzi umejificha humo. Mwanaume hasira zinakupata, alikuwa analewa na nani? Kawaida wanaume hatupendi mwanamke apige larger bila si kuwepo labda iwe sherehe za familia au ubarikio .
Nimependa neno UBARIKIO
 
Ungekua na knowledge ya sheria usingeandika hiyo comment.

Kuua mtu peke yake hakumfanyi mtu kuwa na hatia, wanaangali kitendo ulichofanya na kiwango cha kusudio lako wakati unatekeleza huo uhalifu.

mimi naomba kukuuliza maana umejinasibu unajua sheria:

Kuua bila kukusudia kwa lugha ya kisheria (yani Kiingereza) linaitwaje hilo kosa?
 
Mnaojadili kwa kukosoa maamuzi mnajua sheria? Wanaangalia mens rea. Kumpiga mtu mateke na ngumu imesababishwa na hasira hakukusudia kuu! Unafanya kitu after being provoked au unashindwa kujicontrol. Alikiri kosa kapewa adhabu stahiki. Ana young kids pia wanaohitaji malezi. Mahakimu na majaji wapo dunian kufanya kazi ya Mungu.

okay, kwa hiyo hakuna mens rea ya kuua

sasa kwa nini kuna hatia ya jinai ya kuua kama hakuna mens rea?

jinai inakuaje haina mens rea?
 
'kitu kidogo' kimetembea hapo……...jaribu na wewe kumuua mkeo ukione kitimtim, utaijua jamhuri ya watu wa tarantula ni nini!
Kesi zote za mauaji zinazohusu ndoa mara nyingi hakuna hukumu zaidi ya miaka 5. Always wivu hujulikana na hali inayotokea ghafla. Hata yule wa Kigamboni kitakachomfunga miaka mingi ni ile hali ya kutaka kupoteza ushahidi tu. Lakn kama angeua na kwenda kuripoti kituoni kwamba kwenye ugomvi wao bahati mbaya mkewe kapoteza maisha basi ingekuwa miaka michche tu. UGOMVI WA MAPENZI HATA MAGUFULI HAWEZI KUVUMILIA
 
Back
Top Bottom