- Thread starter
- #21
Maadil hayaruhusu,
ni sawa na kuuza bidhaa fake'
ni sawa na kuuza bidhaa fake'
kama hakuna aliyedhurika, wangemwacha aendelee kupiga bingo.
kama hakuna aliyedhurika, wangemwacha aendelee kupiga bingo.
Walijulia wapi kuwa ni vbudu, au ni kumtesa tu kijana wa watu?
Adhabu hiyo iwe fundisho kwa wengine ..... mtu utauzaje vibudu, akirudi atajirekebisha