Ahukumiwa kwenda jela kwa kuuza kuku'VIBUDU'

Kwa utaratibu huu kipindu pindu, Anthrax, TB vitaendela kutesa watanzania. halafu wana JF kwa nini ule nyama ambayo hujui imeandaliwa na nani katika mazingira gani na kwa utaratibu gani tusipoangalia uroho utamaliza watu.
 
asa tule wapi hiyo mishkake jamanii?
hiyo ni kumuomba mungu koz
hata hawa watu wa masehemu makubwa
wanaendaga huko vingunguti
unakuta ng'ombe alikufa
7bu ya safari na mambo km hayo
wanawanunua kwa bei pouwa
wanakuja kuwapiga seli\


kwa nji hii usijihakikishie kuwa hujala takataka lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom