Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Acheni kushabikia Mada za kipuuzi namna hii.
watu wanapoteza wakati kutoa hoja zao kwenye upuuzi wa namna ii uliozushwa na mtu aliekosa kazi.

ushahidi upi kaweka hapa wenye kuhakikiwa mpk mjaze Hoja kiasi hiki?
halafu tunamlaumu Magufuli kwa njaa zetu.
WaTZ kaaz kweli kweli
 
Kwani Sharia zinasemaje mtu akitenda kosa hilo. ?
Obvious kutakua na sharia...
kuna mtu ana akili timamu aweke sheria za Kujamba? kijana upo swsw lkn?

Dah... Tanzania lzm tutaabike tu.
 
THE POOR GUY MIGHT HAVE BEEN AFFLICTED WITH A LOOSE RECTUM VALVE A DISEASE EASILY TREATABLE
 
ukisikia mkristo mwenye itikadi kali ni kama wewe hapo.upo radhi kujitoa muhanga kuuwa waislamu
 
Fortunately hakuna Mungu /Allah wa hivyo. Hakuna Mungu katili hivyo kama yupo siyo mungu ni shetani!
 
Ila kwa style ile wanayosali waislamu, bora adhabu ya kujamba msikitini iwe kifo tu ili wala maharagwe wajihadhari. Aisee, kujambiwa mdomoni na complete stranger ni noma sana.
 
Hawa wa dini ile siwaoni hapa na huu ni mwezi wa tano! Mkuje bado
 
ukisikia mkristo mwenye itikadi kali ni kama wewe hapo.upo radhi kujitoa muhanga kuuwa waislamu

Waterloo, ninachokichukia katika hao watu ni kuua wengine kwa ajli ya kumlinda mungu, badla ya mungu wao kulinda enzi yake.

Mungu wako hahitaji damu yangu wala kafara ya damu za watu wengine ili kuulinda Utukufu wake.

Nikiwa kama wao stakuwa Mkristo tena.

Sina sababu ya kuwachukia waislam kama unavyodhani. Mungu ninayemwabudu ni MUNGU Mkuu sana. Anapenda waislam waache kuabudu shetani badla yake wageuke wamwabudu Yeye. Mungu wangu hafurahii kufa kwake yeye afaye.

Ondoa fikra, na kamwe sahau kwamba 'ITIKADI ZA KIISLAM ZA KUUA WATU, NI SYNONYMOUS IMANI YA KRISTO YESU". KRISTO AMENIAGIZA KUHUBIRI INJILI HADI MWISHO WA NCHI NA SI KUWAUA WAISLAM. ANAPENDA WATU WOTE WAOKOKE NA KUMFUATA YEYE, NA SI KUWAUA.

UISLAM NI SHIMO REFU WAKATI UKRISTO NI ANGA ZA JUU SANA, NA KAMWE HAZITANGAMANI.

SINA CHUKI NA WAISLAM, ISIPOKUWA UPUMBAVU WAO NDIO NAUCHUKIA. UMEELEWA WEW?
 
Reactions: PNC
Hv lemutuz sio muislam? Manake nae kwa kujamba ni hatariiii
 
kuna mtu ana akili timamu aweke sheria za Kujamba? kijana upo swsw lkn?

Dah... Tanzania lzm tutaabike tu.
hana akili eeh [emoji47] [emoji15] ndio sababu warabu wenye deen yao wanawaita mbwa [emoji117] [emoji33] [emoji33]
 
Reactions: PNC
sawa boss
 
Hakuna sheria kama hiyo wala haitawahi kutokea. People are crazy. Labda ni sheria za kutunga za mwanadam....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…