Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Mods plz futa huu uzi
Yaa kabla ya kupost kitu kwanza tafuta ukweli na kujiridhisha hasa kama kitu kinagusa mioyo ya watu. Madhara yake ni makubwa maana kama hii habari ni uongo 100%. Katika dini hakuna sheria kama hii tafuta Popote pale. Labda kama hao waliotoa ni mapunguani na ni sheria zao za kibinadam. Uzuri vitabu vipo na mtu anaweza kutafuta na kujua ukweli kama huendeshwi na matukio..
 
tigo ikizidiwa ina kata mawasiliano.kujamba noma
 
Tatizo linaanza pale wanapojuandaa kutawaza ili. waswali, Wameamriwa lazima aoshe sehemu hiyo ya kunyea KWA KUJIINGIZA kidole cha kati ili kutoa uchafu, Kisha hawatakiwi kuvaa chupi kwani ukikojoa mkojo unaweza dondokea kwenye chupi ukaharibu uzuru wako. Sasa katika mazingira kama hayo kwanini usijambe ili hali malinda ya kubana ushuzi umeyalegeza MWENYEWE kwa kujitia vidole?
 
Dini ya haki. Kujamba adhabu yake ni kifo. Haki iko wapi?
Hakuna kitu kama hicho,, hakuna adhabu yeyote apewayo mtu akijamba msikitini,,, likikutokea hilo unapaswa ukachukuwe UDHU UPYA,,, uendelee na swala,,,, huo ni uzushi tu,, kuuchafua UISLAM,, kabla ya kuingia msikitini lazima uwe na udhu,,,,, na udhu hutoka pale tu unapotoa hewa au maji kwenye tundu,, ya mbele au nyuma,,, iwapo itatoka maji basi huna budi ukanawe upya kwa MAJI,,, halafu urudi uchukuwe udhu,, ndy uendelee na swala,, na hayo ni ya kawaida msikitini, hizo zote ni mbinu za WAGALATIA,, kuudhalilisha UISLAM
 
Wagalatia ni Waturuki Na Uturuki ni nchi ya Kiislam. Sasa sujaelewa kwanini Waturuki wanauchafua Uislam wakati wao pia ni Wa Islam?
 
Wagalatia ni Waturuki Na Uturuki ni nchi ya Kiislam. Sasa sujaelewa kwanini Waturuki wanauchafua Uislam wakati wao pia ni Wa Islam?
bi mkubwa hakuna andiko la Paulo likawaongelea Waislamu .
Paulo mwenyewe ni mtu wa antiokia.

unajua antiokia ilikuwa.wapi au unaropoka tu kwa sababu JF hakuna kulipia
 
Dini ya haki. Kujamba adhabu yake ni kifo. Haki iko wapi?
Ungeuliza amepata wapi hio judgement kweli ningekuona una akili... Lakini ni brainwashed...

Maana umeuliza haki iko wapi, lakini hukuuliza kaipata wapi hio hukumu huyo jaji.
 
Ungeuliza amepata wapi hio judgement kweli ningekuona una akili... Lakini ni brainwashed...

Maana umeuliza haki iko wapi, lakini hukuuliza kaipata wapi hio hukumu huyo jaji.
kama mnavyo dhalilishwa na warabu wenye deen yao
Cc0zmESVIAAHk1Z.jpg
nyii mpo tu mnagonga takbirrrr....hhhhhhhhhh...ashki majunun eeh
katoe shuzi pakstan uone utakavyo fanyiwa kitu mbaya..kafir wee
 
kama mnavyo dhalilishwa na warabu wenye deen yao View attachment 659955 nyii mpo tu mnagonga takbirrrr....hhhhhhhhhh...ashki majunun eeh
katoe shuzi pakstan uone utakavyo fanyiwa kitu mbaya..kafir wee
Ewe kafiri usiojua dini, mimi sifati waarabu wanasema nini na hasa kwenye izo picha unazodownload zilizotengezwa na makafiri wenzio ambazo hazina source, mimi nafuata Quran maneno ya Allah kama alivosema kuwa hakuna alie bora mbele yake isipokuwa mcha mungu. Kafiri kama wewe huwezi kuleta hotuba ya mwisho ya mtume wetu waislam kwa sababu itakudhalilisha sana tu.

Biblia haijawahi kuacha kukufanya tahira.... huwezi kuwa na akili ikisha ukawa unaamini mungu anajiomba msaada wakati yeye ni mungu wala huwezi kuamini kuwa mungu kagongwa misumari kama wewe sio tahira! Na kama unazo akili vipi mtu kashasema yeye ni mtume tu kisha ukamwita Mungu

Eti Mungu anazaliwa!! Hahahaaa hercules basi huyo. Ebu tizama mchezo wa legend of hercules uone son of god.

Eti yesu mungu ana baba
 
Ewe kafiri usiojua dini, mimi sifati waarabu wanasema nini na hasa kwenye izo picha unazodownload zilizotengezwa na makafiri wenzio ambazo hazina source, mimi nafuata Quran maneno ya Allah kama alivosema kuwa hakuna alie bora mbele yake isipokuwa mcha mungu. Kafiri kama wewe huwezi kuleta hotuba ya mwisho ya mtume wetu waislam kwa sababu itakudhalilisha sana tu.

Biblia haijawahi kuacha kukufanya tahira.... huwezi kuwa na akili ikisha ukawa unaamini mungu anajiomba msaada wakati yeye ni mungu wala huwezi kuamini kuwa mungu kagongwa misumari kama wewe sio tahira! Na kama unazo akili vipi mtu kashasema yeye ni mtume tu kisha ukamwita Mungu

eti nafuata maneno ya allah kwa hiyo anaeapia kwa aliye umba dhakar na ku..am ni allah
hqdefault+%289%29.jpg
umelogwa au baada ya kuahidiwa ngonoka peponi üna uchu hadi basi hhhhhhhhh...
 
eti nafuata maneno ya allah kwa hiyo anaeapia kwa aliye umba dhakar na ku..am ni allah View attachment 660171 umelogwa au baada ya kuahidiwa ngonoka peponi üna uchu hadi basi hhhhhhhhh...
KAFIRI bana huwa anachekesha sana.... Ikowapi hio Dhakar na k apo...

Maji yamekufika shingoni ata Male and Female hujui maana yake. Nlikwambia zamani we kafiri hujui kituuuu.... katafute panga umfate yesu mungu aliezaliwa na mungu, mungu mwenye baba na mama... hahahaha Leo umenifurahisha yaani penis manake ni male? na female manake pussy? kajifunze tena lugha.

Sikushangae maana maandiko ya akina mattayo yamekuharibu akili....
 
Attachments

  • 2c63f69b24243fd7ff7dff713949526c--funny-shit-funny-stuff.jpg
    2c63f69b24243fd7ff7dff713949526c--funny-shit-funny-stuff.jpg
    11.1 KB · Views: 51
KAFIRI bana huwa anachekesha sana.... Ikowapi hio Dhakar na k apo...

Maji yamekufika shingoni ata Male and Female hujui maana yake. Nlikwambia zamani we kafiri hujui kituuuu.... katafute panga umfate yesu mungu aliezaliwa na mungu, mungu mwenye baba na mama... hahahaha Leo umenifurahisha yaani penis manake ni male? na female manake pussy? kajifunze tena lugha.

Sikushangae maana maandiko ya akina mattayo yamekuharibu akili....

hamwishi kuedit kauli ya muham mad... walahi anaapia kwa aliye umba dhakar na ku....am soma vizuri matini kama hutaki sikulazimishi dogo halafu usingekuwa teja kwanza ungejiuliza huyu anaapia kwa Aliyeumba jee yeye ni muumbaji lakini la kwanza muhimu kwako ni chura...hhhhhh...ndio sababu hakuna ktk wenye deen hiyo ilaha jehannam ni makazi yenu
19-surah-maryam-mary-72-728.jpg
hhhhhhhh nikuulize kwenye safari hii
muhammad-the-false-prophet-1.jpg
chilubi umoo
 
hamwishi kuedit kauli ya muham mad... walahi anaapia kwa aliye umba dhakar na ku....am soma vizuri matini kama hutaki sikulazimishi dogo halafu usingekuwa teja kwanza ungejiuliza huyu anaapia kwa Aliyeumba jee yeye ni muumbaji lakini la kwanza muhimu kwako ni chura...hhhhhh...ndio sababu hakuna ktk wenye deen hiyo ilaha jehannam ni makazi yenu View attachment 660729 hhhhhhhh nikuulize kwenye safari hii View attachment 660730 chilubi umoo
Kafiri Mgen, lete ushahidi wapi Allah ameapia viunge vya dhakar na uke, na pia wapi Allah ameapia kwa muumbaji....

Lazima ngoma iwe ngumu kwako, unatapatapa, utawapotosha wafuasi wanaosoma maneno ya kina mattayo ambayo wamevurugwa akili. Lakini kwetu waislam hutupati... eti waleta aya mungu anasema ameumba MALE AND FEMALE wewe unasema ameapia dhakar ahahahaha.... si bure, biblia imekufanya usiweze hata kutofautisha gender na kiungo... duh pole...

Hio picha sio wafuasi wa kina kakobe? naona wakiristo mna mitume wengi wanaokusanya sadaka zenu na kwenda kujijengea majumba na kuwanunulia watoto wa miaka minne maserati ohoooooo.... mtaibiwa sana tu... chezea ukafiri.... unaleta picha ambazo zinakupinga unachoamini 😀 😀 😀
 
Attachments

  • 9f6810b57d90dc600b43dd5cc60ae4d9--jesus-christ-my-jesus.jpg
    9f6810b57d90dc600b43dd5cc60ae4d9--jesus-christ-my-jesus.jpg
    25 KB · Views: 52
Kafiri Mgen, lete ushahidi wapi Allah ameapia viunge vya dhakar na uke, na pia wapi Allah ameapia kwa muumbaji....

Lazima ngoma iwe ngumu kwako, unatapatapa, utawapotosha wafuasi wanaosoma maneno ya kina mattayo ambayo wamevurugwa akili. Lakini kwetu waislam hutupati... eti waleta aya mungu anasema ameumba MALE AND FEMALE wewe unasema ameapia dhakar ahahahaha.... si bure, biblia imekufanya usiweze hata kutofautisha gender na kiungo... duh pole...

Hio picha sio wafuasi wa kina kakobe? naona wakiristo mna mitume wengi wanaokusanya sadaka zenu na kwenda kujijengea majumba na kuwanunulia watoto wa miaka minne maserati ohoooooo.... mtaibiwa sana tu... chezea ukafiri.... unaleta picha ambazo zinakupinga
unachoamini 😀 😀 😀

umebakia kama upo kilingeni
mganga.jpg
umebakia kidole juu kasauti kadogo, weka ushahidi ushahidi weka...yallah hicho nilicho weka kisamvu cha kopo...?? anae apia hapo ni allah eeh sema sio yeye
 
umebakia kama upo kilingeni
emoji117.png
View attachment 660800 umebakia kidole juu kasauti kadogo, weka ushahidi ushahidi weka...yallah
emoji39.png
hicho nilicho weka kisamvu cha kopo...?? anae apia hapo ni allah eeh
emoji15.png
sema sio yeye
emoji4.png
Mbona kafiri huwa unaruka ruka.... Nimekwambia lete ushahidi unioneshe Allah amemuapia muumbaji mwengine, na pia lete ushahidi kuwa Male manake Dhakar.... hahahahah endelea kujifurahisha nafsi mkristo feki.... yesu kasema kaja na upanga na hakuja kuleta amani, kisha wewe unajifanya eti mtu wa amani, 😀 😀 😀 mkristo gani wewe? au ndio wale waliochakachuliwa, walokaa kitako na kuchagua nini kiwemo na nini kisiwemo kwenye uzushi unaoitwa bibilia?n 😀 😀 😀

Haya nasubiri ushahidi uje nao wenye kuonesha Allah ameapia Dhakar au amemuapia muumbaji.....

Nabii Masanja Mkandamizaji kweli anawaenjoy 😀 😀 😀 kampe sadaka yako.... Eti yesu kafa kwa ajili ya dhambi zenu.... hish!!! Mungu kafa kidogo.....
 
Attachments

  • jesus_died_for_nothing_sticker_oval.jpg
    jesus_died_for_nothing_sticker_oval.jpg
    19.2 KB · Views: 54
Mbona kafiri huwa unaruka ruka.... Nimekwambia lete ushahidi unioneshe Allah amemuapia muumbaji mwengine, na pia lete ushahidi kuwa Male manake Dhakar.... hahahahah endelea kujifurahisha nafsi mkristo feki.... yesu kasema kaja na upanga na hakuja kuleta amani, kisha wewe unajifanya eti mtu wa amani, 😀 😀 😀 mkristo gani wewe? au ndio wale waliochakachuliwa, walokaa kitako na kuchagua nini kiwemo na nini kisiwemo kwenye uzushi unaoitwa bibilia?n 😀 😀 😀

Haya nasubiri ushahidi uje nao wenye kuonesha Allah ameapia Dhakar au amemuapia muumbaji.....

Nabii Masanja Mkandamizaji kweli anawaenjoy 😀 😀 😀 kampe sadaka yako.... Eti yesu kafa kwa ajili ya dhambi zenu.... hish!!! Mungu kafa kidogo.....
f53963c804892f0af7073ea3e342962c.jpg
ushahidi huo hapo kama unataka kichwa cha ndobe sema dogo...
hayo mambo Ya Yesu huna ubavu nayo toa kwanza big-g uliyo ikalia
 
f53963c804892f0af7073ea3e342962c.jpg
ushahidi huo hapo kama unataka kichwa cha ndobe sema dogo...
hayo mambo Ya Yesu huna ubavu nayo toa kwanza big-g uliyo ikalia
AHAHAHAHAHA.... Kwaio Dhakar manake nini? na Untha manake nini? hebu nipe maana na ushahidi wa hio maana.....

😀 😀 😀 😀 ukiristo umekuchafua akili kabisa......

yesu Mungu ana baba na mama
 
f53963c804892f0af7073ea3e342962c.jpg
ushahidi huo hapo kama unataka kichwa cha ndobe sema dogo...
hayo mambo Ya Yesu huna ubavu nayo toa kwanza big-g uliyo ikalia
Mkuu mbona sioni mb...oo wala maku hapo kwenye aya 😀 😀, mi naona zimetajwa jinsia tu..... Nabii masanja na akina papa wammekuchanganya akili hata hujui maana ya maneno.... pole..... Kisha mbona sioni kiapo kwenye hio aya 😀 😀.

Kiapo ni Wallah, maana yake naapa kwa Allah, sasa aya uloleta sio Wallah apo

Huwezi kuelewa Quran ikiwa unaamini Mungu ana baba na mama kisha mwanadamu anaweza kumgonga misumari 😀 😀 😀 zaidi ya yote, Mungu kafa kwa siku tatu, kwaio wakati anakufa, hakuweza kuandika dhambi za waasi wala hajui kilichotokea..... Bibilia haiwezi kumuacha mtu salama kiakili lazima ikuvuruge

Afu mwanaume ana mipasho kwani 😀 😀 au ndio yale ambayo mmeyahalisha tena 😀
 
f53963c804892f0af7073ea3e342962c.jpg
ushahidi huo hapo kama unataka kichwa cha ndobe sema dogo...
hayo mambo Ya Yesu huna ubavu nayo toa kwanza big-g uliyo ikalia
Kafiri hebu tizama bibilia inasemaje kwa kiarabu 😀 😀 😀 Haki ushaiona lakini ndio una sifa ya Ibilisi tu tena ya ukafir
 
Attachments

  • arabic bible.png
    arabic bible.png
    4.1 KB · Views: 43
Back
Top Bottom