Hata huu uzi wako hautadumu.
Nimeongea na rafiki/mtani wangu wa karibu aliyeko ukawa huko kwenu akaniambia, "heri yenu ccm mnakinga dhidi ya hukumu". Nilipomwuliza kulikoni, akaniambia yeye alipigwa ban kwa kuwaambia waache kunyanyasa ukawa huku wakipendlea ccm kwa uwazi.
Eti alipowaonya, wakamfungia eti anaingilia uhuru wao.
Imani ya ccm haina uhuru aktika kutenda maovu na dhuruma. Hawa si rafiki wa ccm bali ni watumwa wetu tu. Hatuwezi kuwaamini ingawa tunafanya nao biashara kwa sababu akiwaingia mwingine kama tulivyofanya sisi, watatugeuka hawa.
Hawana maana.