******Ahsanteni sana wana MMU!******

******Ahsanteni sana wana MMU!******

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,674
Habari wana MMU.

Napenda Kutoa Shukrani Zangu Za Dhati Kwa Faraja Yenu Mliyonipatia Hapa Jukwaani Nilipoondokewa Na Dada Yangu Kipenzi Ambaye Tumeshamzika.

Hakika Mlifanya Jambo La Thamani Sana Katika Mapito Yangu, Siyo Jambo Dogo Ndugu Zangu.

Pamoja Na Kukwazana Kwa Mambo Fulani Hapa Jamvini Lakini Bado Nimeona Ushirikiano Mkubwa Kutoka Kwenu.

Dunia Hii Tu Wasafiri Naomba Tuendelee Na Moyo Huo huo Wa Upendo Daima.

Ahsanteni sana.
 
Asante kwa shukrani na tupo pamoja nawe katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana mkuu Mungu aendelee kukutia nguvu ktk kipindi hiki kigumu. Sote tu njia moja
 
Back
Top Bottom