Mauntana
Member
- Mar 10, 2012
- 81
- 14
Wanajamvi mimi ni mmoja wa watu niliyeamini kazi ni za kujuana tu. Napenda kuwashukuru watu wema wanaoweka matangazo humu. Siku ikifika imefika nimepata kazi nzuri sana kupitia JamiiForum. Mungu ibariki JamiiForum.
Ambao bado msikate tamaa omba tu hata ukiomba kazi kumi kwa siku.Nikisikia nafasi sehemu sitaacha kuweka humu Jamvini.
Ambao bado msikate tamaa omba tu hata ukiomba kazi kumi kwa siku.Nikisikia nafasi sehemu sitaacha kuweka humu Jamvini.