Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

Wote wanaosimamia huu wizi na ubadhilifu ni watanzania na wana ccm wenzake.

Hata yeye akiwa Waziri kuna report kadhaa za CAG ziliwahi kumkaanga kwa ubadhilifu. Ashukuru Mungu jk hakumchukulia hatua angekuwa ametupwa jalalani huko kama walivyotupwa akina Kagasheki na Mawaziri wengine.
bavicha roho zinawaumaa
 
Haya nyumbu nimekuja nijibu upuuzi wote huu umefanyika chini ya chama gani?

Afu nyie Lumumba kila kitu mnashangilia tu bila kufanya upembuzi,ni watu gani wamekua wakililia mikataba itazamwe upya ulishasikia ccm yeyote akipigania hilo!!! Sio kwamba sifurahii hatua hii ya Magufuli hapana kabisa ila naona angechunguza kule jikoni kwenyewe pia asiishie kwa haya makombo ya dhahabu,kama asipofuatilia kule itakua kama kumshangilia mfalme kugombea makombo badala ya kufuatilia chakula kizuri jikoni.
 
Jambo la kwanza hakuna Mungu.

Na ukishaamini kuwapo kwa Mungu tu, ushajiweka katika ujinga wa kudanganywa na watawala jinsi wanavyotaka.
 
Hapa tukubali kwamba raisi kafanya kazi kubwa Kwa maslahi ya Taifa, hongera tume ya uchunguz kwa uzalendo wenu
Tume nyingi zinafanya makubwa. Angalia ya vyeti feki ambao walifukua madudu. Hasa sector nyeti kama afya na elimu.
 
Hahahahahahaha kwahiyo mmeshasahau manyanyaso kisa hiyo movie ya michanga
 
hii haina uchama..watanzania "wazalendo" tuungane sio watanzania wote maana wapo wasio wazalendo..tusiingize siasa na kupongeza chama fulani maana waliofanya madudu ni hivyo hivyo vyama kuna wengine walipewa kamati ya madin kipind fulani wakatokomea kabisa na hawakuleta haya.."KAMA HILI NI JEMA HALINA USIASA NATOA HONGERA KWA TEAM YOTE IKIONGOZWA NA MH.RAIS"..kazi ya tume tumeona na hatua tumeona...

NOTE;shauku yangu kama mtanzania mzalendo-hatma ya mikataba ya madini itakayotunufaisha walalahoi na nchi kwa ujumla, maamuzi chanya kwa haya makampuni ya kigeni yanayokula nchi yetu.
 
Kama tungempata Magufuli toka baada ya uhuru na kuongoza miaka 25, Watz tungekuwa mbali sana.

Tusingelikuwa mafukara kama tulivyo sasa. Sisi sio masikini, bali ni fukara (poorest). Mali tunazo ila wanafaidi makaburu (wa kitanzania na wa kimataifa).

Eti wanajitetea gharama ya viwanda vya kusafisha sijui ni gharama kubwa sana. Je madini walioiba mwaka mmoja tu TZ mbona yana gharama kubwa kuliko hata bajeti ya miaka zaidi ya10 ya nchi zote za ulaya? Mhe. Rais atachukiwa sana Ulaya na wapiga dili wa Tz.

SHIME WATANZANIA, TUUNGANE KUMSHUKURU MUNGU KWA KUMPATA MAGUFULI WETU NA TUMUOMBEE AMPE AFYA NA BUSARA AENDELEE KUTUTETEA .

JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE.
Wewe kweli ni tikiti kama ID
 
Asiishie kwa hawa wa juzi tu,achimbe makaburi!Maana kuna watu wanaishi kwa kibri kwa hela za rushwa
 
Kama tungempata Magufuli toka baada ya uhuru na kuongoza miaka 25, Watz tungekuwa mbali sana.

Tusingelikuwa mafukara kama tulivyo sasa. Sisi sio masikini, bali ni fukara (poorest). Mali tunazo ila wanafaidi makaburu (wa kitanzania na wa kimataifa).

Eti wanajitetea gharama ya viwanda vya kusafisha sijui ni gharama kubwa sana. Je madini walioiba mwaka mmoja tu TZ mbona yana gharama kubwa kuliko hata bajeti ya miaka zaidi ya10 ya nchi zote za ulaya? Mhe. Rais atachukiwa sana Ulaya na wapiga dili wa Tz.

SHIME WATANZANIA, TUUNGANE KUMSHUKURU MUNGU KWA KUMPATA MAGUFULI WETU NA TUMUOMBEE AMPE AFYA NA BUSARA AENDELEE KUTUTETEA .

JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE.
Ccm ni ileile loooooo
Ni ileile
Ccm ni ileile ooooooo
 
Kwani hao walioshiriki kufanya hujuma hapa hadi tunakuwa masikini ni wakenya??
Ni watanzania wenzetu so unaposema watanzania wote tuungane hilo halitawezekana tutaunganaje wakati ndani ya watanzania hao hao kuna mangedere kibao.

Tengua kauli si watanzania wote bali ni wazalendo wa Tanzania.
Mkuu hongera sana kwa swali la msingi
 
Ngoja nyumbu waje!
753396ad01be64f07d96644a99ab4440.jpg
 
Wote wanaosimamia huu wizi na ubadhilifu ni watanzania na wana ccm wenzake.

Hata yeye akiwa Waziri kuna report kadhaa za CAG ziliwahi kumkaanga kwa ubadhilifu. Ashukuru Mungu jk hakumchukulia hatua angekuwa ametupwa jalalani huko kama walivyotupwa akina Kagasheki na Mawaziri wengine.
Asante sana mkuu umemaliza kazi
 
Jambo la kwanza hakuna Mungu.

Na ukishaamini kuwapo kwa Mungu tu, ushajiweka katika ujinga wa kudanganywa na watawala jinsi wanavyotaka.
Okay.. sema ww ndio una amini kuwa hakuna Mungu. Waache wanao amini waamini..
 
Every worst thing kuhusu sakata la madini lilianzia bungeni,ile tabia ya wagonga meza wengi bila kuzingatia hoja ndiyo imetufikisha hapa leo kuunda kamati na kugundua uozo huu,by then JPM was one of them. Now he has mamlaka ya makubwa,but katika hili mashujaa wetu ni wale wote waliosimama na kufichua uozo katika sekta ya madini ndani na nje ya bunge,wale wote waliotaka mikataba iwekwe wazi ila wakabezwa na kundi la 'wagonga meza' ndani ya bunge. Nasubir taarifa ya chama kupitia kwa POLEPOLE,UVCCM ya kukipaka rangi nzuri chama kilichosimamia 'wizi katika sekta ya madini'.
Pongezi za kipekee ziwaendee wabunge wote hasa wa upinzani waliokuwa wakilipigia kelele hili suara
 
Okay.. sema ww ndio una amini kuwa hakuna Mungu. Waache wanao amini waamini..
Nimewaacha waamini.

Sijawafuata kanisani, msikitinibwala majumbani mwao.

Ila wao hawajaniacha wamenifuata hapa JF na kuniwekea Mungu wao wa uongo usoni kwangu.

Kuna uhusiano mkubwa kati ya umani ya Mungu na umasikini.
 
Back
Top Bottom