Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

Kama tungempata Magufuli toka baada ya uhuru na kuongoza miaka 25, Watz tungekuwa mbali sana.

Tusingelikuwa mafukara kama tulivyo sasa. Sisi sio masikini, bali ni fukara (poorest). Mali tunazo ila wanafaidi makaburu (wa kitanzania na wa kimataifa).

Eti wanajitetea gharama ya viwanda vya kusafisha sijui ni gharama kubwa sana. Je madini walioiba mwaka mmoja tu TZ mbona yana gharama kubwa kuliko hata bajeti ya miaka zaidi ya10 ya nchi zote za ulaya? Mhe. Rais atachukiwa sana Ulaya na wapiga dili wa Tz.

SHIME WATANZANIA, TUUNGANE KUMSHUKURU MUNGU KWA KUMPATA MAGUFULI WETU NA TUMUOMBEE AMPE AFYA NA BUSARA AENDELEE KUTUTETEA .

JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE.
 
Kwani hao walioshiriki kufanya hujuma hapa hadi tunakuwa masikini ni wakenya??
Ni watanzania wenzetu so unaposema watanzania wote tuungane hilo halitawezekana tutaunganaje wakati ndani ya watanzania hao hao kuna mangedere kibao.

Tengua kauli si watanzania wote bali ni wazalendo wa Tanzania.
 
Kama tungempata Magufuli toka baada ya uhuru na kuongoza miaka 25, Watz tungekuwa mbali sana. Tusingelikuwa mafukara kama tulivyo sasa. Sisi sio masikini, bali ni fukara (poorest). Mali tunazo ila wana faidi makaburu (wakitanzania na wakimataifa). Eti wanajitetea gharama ya viwanda vya kusafisha sijui ... ni gharama kubwa sana. Je madini walioiba mwaka mmoja tu TZ mbona yana gharama kubwa kuliko hata bajeti ya miaka zaidi ya10 ya nchi zote za ulaya?.
Mh. Rais atachukiwa sana Ulaya na wapiga dili wa TZ. SHIME WATZ, TUUNGANE KUMSHUKURU MUNGU KWA KUMPATA MAGUFULI WETU NA TUMUOMBEE AMPE AFYA NA BUSARA AENDELEE KUTUTETEA . JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE.
Ngoja nyumbu waje!
 
Mikataba ipitiwe upya. Tuangalie wapi tunarekebisha.

Kumuomba Mungu bila vitendo ni kazi bure.
 
Wote wanaosimamia huu wizi na ubadhilifu ni watanzania na wana ccm wenzake.

Hata yeye akiwa Waziri kuna report kadhaa za CAG ziliwahi kumkaanga kwa ubadhilifu. Ashukuru Mungu jk hakumchukulia hatua angekuwa ametupwa jalalani huko kama walivyotupwa akina Kagasheki na Mawaziri wengine.
 
Every worst thing kuhusu sakata la madini lilianzia bungeni,ile tabia ya wagonga meza wengi bila kuzingatia hoja ndiyo imetufikisha hapa leo kuunda kamati na kugundua uozo huu,by then JPM was one of them. Now he has mamlaka ya makubwa,but katika hili mashujaa wetu ni wale wote waliosimama na kufichua uozo katika sekta ya madini ndani na nje ya bunge,wale wote waliotaka mikataba iwekwe wazi ila wakabezwa na kundi la 'wagonga meza' ndani ya bunge. Nasubir taarifa ya chama kupitia kwa POLEPOLE,UVCCM ya kukipaka rangi nzuri chama kilichosimamia 'wizi katika sekta ya madini'.
 
Kwani hao walioshiriki kufanya hujuma hapa hadi tunakuwa masikini ni wakenya??
Ni watanzania wenzetu so unaposema watanzania wote tuungane hilo halitawezekana tutaunganaje wakati ndani ya watanzania hao hao kuna mangedere kibao.

Tengua kauli si watanzania wote bali ni wazalendo wa Tanzania.

Inapendeza
 
Kila siku naingia Msikitini
katiko maombi huwa simuachi Rais wangu
kiukweli Namuona ana nia njema na Tanzania yetu,
Japo wapo wanao taka kumkwamisha na Kumyumbisha lakini nijuavyo kwa uwezo wa Mungu lazima Watashindwa
 
Nampenda sana Magufuri. Sina kitu cha kuelezea furaha yangu kwa anayoyafanya
 
Every worst thing kuhusu sakata la madini lilianzia bungeni,ile tabia ya wagonga meza wengi bila kuzingatia hoja ndiyo imetufikisha hapa leo kuunda kamati na kugundua uozo huu,by then JPM was one of them. Now he has mamlaka ya makubwa,but katika hili mashujaa wetu ni wale wote waliosimama na kufichua uozo katika sekta ya madini ndani na nje ya bunge,wale wote waliotaka mikataba iwekwe wazi ila wakabezwa na kundi la 'wagonga meza' ndani ya bunge. Nasubir taarifa ya chama kupitia kwa POLEPOLE,UVCCM ya kukipaka rangi nzuri chama kilichosimamia 'wizi katika sekta ya madini'.
Hii ni Serikali ya MAGUFULI. Magufuli wa zamani alikuwa sio Rais. Magufuli wa leo ni wa tofauti. Je na hili sio la kumshukuru MUNGU?
 
Hapa tukubali kwamba raisi kafanya kazi kubwa Kwa maslahi ya Taifa, hongera tume ya uchunguz kwa uzalendo wenu
 
Kama tungempata Magufuli toka baada ya uhuru na kuongoza miaka 25, Watz tungekuwa mbali sana. Tusingelikuwa mafukara kama tulivyo sasa. Sisi sio masikini, bali ni fukara (poorest). Mali tunazo ila wana faidi makaburu (wakitanzania na wakimataifa). Eti wanajitetea gharama ya viwanda vya kusafisha sijui ... ni gharama kubwa sana. Je madini walioiba mwaka mmoja tu TZ mbona yana gharama kubwa kuliko hata bajeti ya miaka zaidi ya10 ya nchi zote za ulaya?.
Mh. Rais atachukiwa sana Ulaya na wapiga dili wa TZ. SHIME WATZ, TUUNGANE KUMSHUKURU MUNGU KWA KUMPATA MAGUFULI WETU NA TUMUOMBEE AMPE AFYA NA BUSARA AENDELEE KUTUTETEA . JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE.
Usitake kutuaminisha unachokiamini ww mkuu
 
Kila siku naingia Msikitini
katiko maombi huwa simuachi Rais wangu
kiukweli Namuona ana nia njema na Tanzania yetu,
Japo wapo wanao taka kumkwamisha na Kumyumbisha lakini nijuavyo kwa uwezo wa Mungu lazima Watashindwa
MUNGU WETU AMBAYE NI MMOJA TU (WawaIslamu na Wakristo) anatupenda na anatupigania.
 
Kila siku naingia Msikitini
katiko maombi huwa simuachi Rais wangu
kiukweli Namuona ana nia njema na Tanzania yetu,
Japo wapo wanao taka kumkwamisha na Kumyumbisha lakini nijuavyo kwa uwezo wa Mungu lazima Watashindwa
Amen.
 
Back
Top Bottom