Ahsante Mama!

Ahsante Mama!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Wajameni habari za asubuhi!
SOMA HII TAFADHALI
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya kuzaliwa)?
Mama akajibu:- "mwanangu bado una una safari ndefu kufika".
Mtoto yule alipofikisha umri wa miaka 17, siku moja ghafla akaanguka chini.
Mama yake akambeba na kumuwahisha hospitali, na Daktari akasema: "Mama mwanao ana Moyo mkubwa pia limeonekana tundu katika moyo wake."
Mama akiwa na mwanae pale hospitali huku mama akiwa na mawazo nini cha kufanya, mtoto akamuuliza mama yake " Mama Madaktari wamekwambia mimi ninaenda kufa?? Mama akaanza kulia..
Baada ya muda wa mwaka nzima kijana huyu akiwa amefikisha mika 18, alirudishwa nyumbani kutokana na hali yake kuwa nzuri. baada ya kufika nyumbali alikuta barua ipo kwenye kitanda, iliyokuwa imeandikwa na mama yake.
Barua iliandikwa hivi: Mwanangu unasoma haya kwa sababu kila kitu kimeenda sawa mpaka sasa. Kumbuka siku uliyoniambia siku ukifikisha miaka 18 nitakupa nini na hukufahamu kwanini sikukupa jibu. "Nimekupa moyo wangu Take care of it and happy Birthday Son". Alimaliza kwa maneno hayo ya kingereza.
Mama huyu alikufa kwasababu ya mwanae apone, maana alitakiwa kutoa moyo wake awekewe mwanae.
Kama unaamini Hakuna kama "MAMA" hapa duniani, naomba tupia LIKE za kutosha!

EaTv - Fb
 
sasa ungesapoti mada yako na wimbo wa bella nani kama mama au wa boys 2 men, hivi hivi haijanoga aisee.
 
Moyo nao unabadilishwa km figo?

Umeona eh? Hilo toto lingekuwa na kansa ya kikojoleo inawezekana maza angejitolea mgegedo wa dogo ukatwe ajitolee K yake apewe dogo. Afu kwa kimombo angemwambia "Love your hubby, son"

hadithi itaendelea....
 
Back
Top Bottom