Ahsante Kinana, nimeamini wewe ni kichwa

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,777
Katika hali ya kushangaza sana kisiasa Tanzania, nyimbo imegeuka ghafla.

Wiki mbili nyuma ilikuwa tukiwasikia UKAWA hapa na pale, sasa hivi kila mmoja, awe ni mwana CCM au mpinzani wa chama chochote kile, nyimbo ni CCM, CCM, CCM, CCM. Hakuna cha CHADEMA, CUF, NCCR wala ACT.

Kinachoongelewa kuanzia na washabiki wa mitaani, wana siasa waliobobea, magazeti, wachambuzi wa kisiasa, vijiweni, kwenye ma redio, ma TV, licha ya mtandaoni, bila kuisahau JF ni CCM. Ama kwa hakika, wataiongelea CCM wakitaka wasitake, umewaweza sana na hawana ujanja hata chembe. Halafu wewe kimya, baada ya kuwawachia kizungumkuti, umeingia kwenye basi lako jipya kabisa, huyooooo unakwenda kumwaga sera mikoani.

Kiingereza tunasema hii ni "Political Strategy" ya karne.

Kila nnapopita JF, gumzo ni wagombea nafasi ya kuwania Urais wa CCM, nani wa kubisha hilo? Kila mtu anaamini, awe wa chama chochote kile, kuwa Rais wa Tanzania bado ataendelea kutokea CCM uchaguzi huu na sasa nnaamini hata zijazo, na ulivyowaparaganisha hata ubunge na udiwani wameusahau.

Hii imenikumbusha ile nyimbo ya zamani "nimuokowe nani?".

Kinana ni Kichwa.

Ngoja tushike dola ndio utajua kwamba ni kichwa au miguu Tembo watapumua.
 
Dada angu ndiyo maana nilikuambia kwenye thread zilizopita inaonekana tumbo linakusumbua. Kila kitu kina zamu yake. Kwa sasa hivi CCM ndiyo wako kwenye mchakato ndiyo maana watu wako uku. Ikifika wakati wa UKAWA tutaenda uko. Chelsea akicheza leo utakuwa mwendawazimu ukishabikia Man U ambaye atacheza next month
 
We Faiza umelewa mleo uwe wa wanaccm wote. Usifikirie watu wakisema ccm ccm ccm, wanampango mzuri nanyi. By the way hao ccm wana lipi jipya! 30 years na story ni zilezile. Mmelewa na endeleeni kulewa hivyohivyo
 
Katika hali ya kushangaza sana kisiasa Tanzania, nyimbo imegeuka ghafla.

Wiki mbili nyuma ilikuwa tukiwasikia UKAWA hapa na pale, sasa hivi kila mmoja, awe ni mwana CCM au mpinzani wa chama chochote kile, nyimbo ni CCM, CCM, CCM, CCM. Hakuna cha CHADEMA, CUF, NCCR wala ACT.

Kinachoongelewa kuanzia na washabiki wa mitaani, wana siasa waliobobea, magazeti, wachambuzi wa kisiasa, vijiweni, kwenye ma redio, ma TV, licha ya mtandaoni, bila kuisahau JF ni CCM. Ama kwa hakika, wataiongelea CCM wakitaka wasitake, umewaweza sana na hawana ujanja hata chembe. Halafu wewe kimya, baada ya kuwawachia kizungumkuti, umeingia kwenye basi lako jipya kabisa, huyooooo unakwenda kumwaga sera mikoani.

Kiingereza tunasema hii ni "Political Strategy" ya karne.

Kila nnapopita JF, gumzo ni wagombea nafasi ya kuwania Urais wa CCM, nani wa kubisha hilo? Kila mtu anaamini, awe wa chama chochote kile, kuwa Rais wa Tanzania bado ataendelea kutokea CCM uchaguzi huu na sasa nnaamini hata zijazo, na ulivyowaparaganisha hata ubunge na udiwani wameusahau.

Hii imenikumbusha ile nyimbo ya zamani "nimuokowe nani?".

Kinana ni Kichwa.

sasa unashangaa nini,wakati shetani mwenyewe kila cku anaongelea makanisani,mickitin kila sehemu ccm ni aduni shetani mwenye anaafazali
 
Bibie ni kweli kabisa kwamba kwa sasa ccm inasemwa sana, ila kwa mtu aliye na akili japo kidogo japo z kuvukia barabara, hawezi kuumizwa na hilo..!!!

Shetani anaweza kuwa anasemwa zaidi, iwe ni mitaani, Makanisani, Misikitini na hata makazini.

Lakini je kwa kusemwa kwake huko kunamaanisha kwamba anaungwa mkono? Watu wanaisema sana ccm kwa pale ilipotufikisha Watanzania na kubwa zaidi hata ule mshipa wa haya (siyo aibu) umekatika katika viungo vyao, Laiti kama mshipa huo ungekuwa unafanya kazi, ccm wasingefikilia japo kusimamisha Mgombea ktk nafasi yoyote..!!! Huku ndiko unakoona wewe kwamba ccm inasemwa sana. Watu wanaichukia sana ccm kiasi haiwaishi vinywani mwao na yeyote anayejinasibisha na ccm kwasasa hugeuka kituko mbele ya Kadmnasi..!! Hili si jambo la kulifurahia, hili ni jambo ambalo watu wazima wenye akili zao hukaa chini na kujitafakari, "hivi tumewafanyia nini Watanzania kiasi.wanatuchukia namna hii"..!!

Na kwakuwa Mwenyezi Mungu amepofusha ufahamu wenu mnadhani mnaongelewa kwa Mazuri. Haya mfano mdogo tu, mimi hapa nimeingolea ccm. Na katika maongezi yangu nimeitaja mara kadhaa... Je nimeiongelea kwa Muktadha upi? Wewe unajifunza nini kwa nilichoongea? Unakiweka ktk mizani ipi?

Msikilize Makongoro, Mwambie huyo Kinana wenu achukue hatua stahiki maana Mwenyekiti wake ameahindwa...!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Katika hali ya kushangaza sana kisiasa Tanzania, nyimbo imegeuka ghafla.

Wiki mbili nyuma ilikuwa tukiwasikia UKAWA hapa na pale, sasa hivi kila mmoja, awe ni mwana CCM au mpinzani wa chama chochote kile, nyimbo ni CCM, CCM, CCM, CCM. Hakuna cha CHADEMA, CUF, NCCR wala ACT.

Kinachoongelewa kuanzia na washabiki wa mitaani, wana siasa waliobobea, magazeti, wachambuzi wa kisiasa, vijiweni, kwenye ma redio, ma TV, licha ya mtandaoni, bila kuisahau JF ni CCM. Ama kwa hakika, wataiongelea CCM wakitaka wasitake, umewaweza sana na hawana ujanja hata chembe. Halafu wewe kimya, baada ya kuwawachia kizungumkuti, umeingia kwenye basi lako jipya kabisa, huyooooo unakwenda kumwaga sera mikoani.

Kiingereza tunasema hii ni "Political Strategy" ya karne.

Kila nnapopita JF, gumzo ni wagombea nafasi ya kuwania Urais wa CCM, nani wa kubisha hilo? Kila mtu anaamini, awe wa chama chochote kile, kuwa Rais wa Tanzania bado ataendelea kutokea CCM uchaguzi huu na sasa nnaamini hata zijazo, na ulivyowaparaganisha hata ubunge na udiwani wameusahau.

Hii imenikumbusha ile nyimbo ya zamani "nimuokowe nani?".

Kinana ni Kichwa.

Katika wa mama wa hovyo hapa Jf wewe unaongoza.UNA MAMBO MATATU YA HOVYO-MDINI,MCCM,AND THEN MJUAJI.UTAKOMA MAKONGORO AKIWA RAIS,NYIE WATU WA PWANI BWANA,CDHAN KAMA MTAKUJA KUONGOZA NCHI HII.JUZ UNAMPONDA MAKONGORO,WAKATI JAMAA YAKO KAINGIA ANAJULIKANA NI MZINZI WA KUTUPWA.
 
Unajua kwa nini ccm inasemwa..??ni simple tu,kwa sabababu wanachama wake karibia wote mi mafisadi na wezi hivyo watu tuko makini kuona ni mwizi gani atapewa kupeperusha bendela ya chama la wana..!!"in two evils choose the lesser evil,"tunasubilia kwa hamu kuona who wil be the lesser evil among all evils members..!!
 
Hapa CCM wanapima Upepo 😀
Site huku hali ni Mbaya, yan nakubali 100% kweli ninyi ndio GUMZO la nchi kwasasa, Lakini ukitaka kujua GUMZO lipoje rejea jana mjadala ITV wa Usiku kwenye Malumbano ya Hoja

Kweli mjadala ulikuwa ni CCM, lak swali wanaijadilije? :what:

Nawambia hapa Bila ushabiki, Mwaka Huu mkitoka, heee😕 sijui
 
Kuwa maarufu sio lazima iwe kwa mema,unaweza kunya kariakoo na ukawa maarufu kwa hyo usishangae ccm kuongelewa sana uliza wanaongelewa ktk lipi?
 
Katika wa mama wa hovyo hapa Jf wewe unaongoza.UNA MAMBO MATATU YA HOVYO-MDINI,MCCM,AND THEN MJUAJI.UTAKOMA MAKONGORO AKIWA RAIS,NYIE WATU WA PWANI BWANA,CDHAN KAMA MTAKUJA KUONGOZA NCHI HII.JUZ UNAMPONDA MAKONGORO,WAKATI JAMAA YAKO KAINGIA ANAJULIKANA NI MZINZI WA KUTUPWA.

Na wewe siku hizi CCM?
 
It's simple, sababu za CCM kusemwa ndani ya wiki hizi mbili mbona zinaeleweka na kila mtu. Ukifika wakati wa kuongelea vyama vingine nao wataongelewa, na sababu ziko wazi wala hatuhitaji wapiga ramli kama wewe kutueleza...
 
Umaarufu wa kitu unatokana na sifa nzuri au mbaya.sasa ccm inazungumzwa kwa mabaya bibie elewa hivyo..
 
Katika wa mama wa hovyo hapa Jf wewe unaongoza.UNA MAMBO MATATU YA HOVYO-MDINI,MCCM,AND THEN MJUAJI.UTAKOMA MAKONGORO AKIWA RAIS,NYIE WATU WA PWANI BWANA,CDHAN KAMA MTAKUJA KUONGOZA NCHI HII.JUZ UNAMPONDA MAKONGORO,WAKATI JAMAA YAKO KAINGIA ANAJULIKANA NI MZINZI WA KUTUPWA.

Yawezekana gozi la JK keshalichezea...she's simply in love with the mazafanta.
 
Back
Top Bottom