Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

Ila chonde chonde usije ukang'ang'ania kwangu sababu ya mautamu ukasababisha Young_Master akutumie mgambo kama siku ile mgambo kama siku ile

na leo akituma mgambo sitoki kabisa! wallah tena! leo nikuwekee udi wa comoro au wa zenji?? wa hapa haunogi! we mwenyewe ushakunywa mkuyati?? huchelewi kunizingua na mi nataka kukaguliwa!
 
na leo akituma mgambo sitoki kabisa! wallah tena! leo nikuwekee udi wa comoro au wa zenji?? wa hapa haunogi! we mwenyewe ushakunywa mkuyati?? huchelewi kunizingua na mi nataka kukaguliwa!
Umefika wapi cacico, ma ako hoi hapa nasubiri. Usije ukanifanya nikapiga punyeto bana. Wahi...... Weka ile makitu ya comoro ndo mwake. Usipake mafuta, nna mpango wa kukufanjia masaji.
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 rabeka mpendwa naona umeniita sana,hatimae nimeweza kuitikia wito
Umeitika mpenzi ila umechelewa hadi nikaanza kuumwa nikidhani kaka kaiser kaniwahi siunajua sisi atakaewahi ndio mla nyama!
Mzima Yummy ?
 
Last edited by a moderator:
Yaani ulivyo pampula unaweza kutunga mashairi? Hata sikubali, unakunywa pombe gani na mie nianze?
 
Ngoja mpendwa gfsonwin nikukabidhi shukrani kwa mistari....... Khaa! Ulinitibuje?


Tiba ulonipatia, gfsonwin sikia,
Imenishika sawia, Maradhi yameishia,
Niko gado nakwambia, vitu naweza shushia,
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

Nimepona nawambia, Yummy cacico sikia,
Mshedede kama gia, uko imara sawia,
charminglady sogea, utamu ntakupatia
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

sweetlady aminia, hata na Blaki Womani,
Preta kwangu karibia, utamu nambari wani,
Nawe BADILI TABIA, Bishanga atakupani?
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

Uko wapi CUTE wangu, Mamndenyi nangojea,
Remmy wa moyoni mwangu, hata ney kush pia,
Mtambuzi ndugu yangu, debe weza nipigia?
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

Homi Kaizer sikia, ndugu yako nimepona,
Nahitaji kukagua, Jukuu zangu hiyana,
Waweza nisaidia, kukaba bila kubana?
Nimepona Asprin, Njooni niwakague.

Kongosho
wangu wa ndani, asali ya asilia,
afrodenzi wa moyoni, njoo nipate pumua,
TaiJike wa zamani, nataka kukurudia,
Nimepona Asprin, njooni niwakague.

Nyote kwangu karibuni, Mabinti mwanisikia?
Mabinti kwangu njooni, huduma kuwapatia,
Njooni ukaguzini, kazi yangu kukagua,
Nikisha kuwakagua, Gharama sitawachaji.

Na: Asprin a.k.a babu ODM'
Kaunta ya Juu,
Fyatanga Bar
KingStar Boko Basihaya.

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kusomwa na Young_Master, Erickb52, Mentor, Lily Flower na FirstLady1
satori, packing na sia lol umesahau
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom