Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

inasikitisha sana, itv wameonyesha ajali hukobombo, mtu kavunjika mguu, damu inatoka kichwani, hospitali haina xray......
Inauma sana.....

Nimeiona.......
nikashangaa huku serikali inatoa pesa za kuua watu...
Ama kweli taifa letu sijui la kifree masons?
 
Dawa ya huyo Young Master ni kumpoteza tu
Hana jipya siku hizi
uwiiiiiiiiiii Erickb52 advice gani hiyo wallah? umpoteze hubby?? unataka kumlimboka nini?? Asprin mwaya usifanye hivyo, ila ukaguzi wa jana, mi mwenyewe nimekubali, babu upo juu, wanakuona wao wazee kwa macho yao, kwangu we ni FOREVER YOUNG KHA! morning my Asprin
 
Last edited by a moderator:
Ni samaki ila kuna baadhi ya wenzetu hawamli hivyo ndio maana sijmweka katika kundi la samaki.
hubby nakugongea mbona hunifungulii?? nimechelewa kurudi gfsonwin alinizingua na shughuli zake, ila dua kwa babu Asprin iliwahi tu kuisha, nimekuja nifungulie hubby mwahh!
 
Last edited by a moderator:
leo mkague Yummy, utaniua mwenzio kha!
Tatizo kuna sehemu bado sijakukaguia vizuri. ukuje bathi...

attachment.php
 
bora umejikalia kimya! Remmy mambo? jana kama nimekuona msitu wa damu na kamanda msangi, ni wewe au?
Hahahaaaaaa........si tulikuwa wote ndo maana ukaniona umesahau?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom