Ahmed Ally; nitaingia na ungo uwanjani

Ahmed Ally; nitaingia na ungo uwanjani

Yanga huwa anafeli kwenye jezi na tamasha la siku yao.
Miaka yote huwa wanabuma. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi saiz nashabikia Yanga kwanza mpaka simba warudi kwenye mstari sitaki presha tena
 
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally ametanabaisha kwamba siku ya Simba (Simba Day) Jumamosi Agosti 8, 2026 ataingia Uwanjani kwa namna ya tofauti ambapo ataingia kwa kupaa na ungo.

Naweza kusema hii ndiyo Simba Day Bora kuwahi kutokea toka lianzishwe hili tamasha, ubunifu wa Msemaji wa Simba SC naweza kusema leo ndiyo Man of The Match, huyu ndo kaifanya Simba Day ipendeze zaidi.
Mwamba atabaki kwenye historia ya soka la Tanzania.
Very creative
 
Back
Top Bottom