Ahmed Ally ni kiungo mzuri sana kati ya timu na masbabiki, ila hajui kuisemea tim. Anapenda sana kuisemea Yanga kuliko kuisemea Simba. Wakati mwingine anadhanai inaisadia Simba kwa yeye kuikandia Yanga, lakini kwenye media tunafundishwa kuwa negative publixcity nayo ni publicitry tu, kwa hiyo muda anaotumia kuikandia Yanga huwa anaitanganza Yanga bila kujijua tu.