Afisa habari na mawasilino wa Simba Sc Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba wanasimba kufika katika uwanja wa KMC kuaagana.
"Jumapili tukutane KMC tukaagane,tumekua na Msimu mzuri sana"
Ikumbukwe kuwa Klabu ya Simba Bado haijathibitisha kucheza mchezo wa tarehe 25 June dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.