Ahh! Demokrasia ni Ukafiri?

Ahh! Demokrasia ni Ukafiri?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,289
Nam...

Nilikuwa nikitoka kazini hivi leo jioni.Nilipo fika maeneo fulani
nikapata nafasi ya kusikia vijana wakibishana masuala mbalimbali ya kisiasa, Sikuwa nikisikiliza mazungumzo yao kwa makini,
Ila nikabahatika kusikia kijana mmoja akitamka neno kuwa "Demokrasia ni mzizi wa ukafir".

Binafsi sikuweza kuelewa maana ya hiko alichokuwa akimaanisha.!
Nimeona niliweke hili jambo humu jamvini ili mwenye kujua zaidi aweze kunifahamisha.!

Karibuni!
 
Ni kweli.kwa mtizamo wa uislam democrasia ni.ukafiri yaani sio mfumo ambao mungu anaukubali
 
Ni kweli.kwa mtizamo wa uislam democrasia ni.ukafiri yaani sio mfumo ambao mungu anaukubali
Ila nashngaa ujamaa wanaukubali ambao ndio ukafiri wa wazi..Ujamaa viongozi wote na serikali zao huabudiwa na kuangalia maisha ya kila raia...na hii ktk ktk nchi hata zenye waumini wengi Ukristu,Uislam,Ubudha,Uhindu, zizizo na waumini wenye imani ya dini kabisa...wote huabudu Dola,na kiongozi wao mkuu ndie hutoa fadhila kwa wote na wa kuabudiwa kabisa.Huko watu wapangwa njia kumsujudu,kumpokea ,kumlaki,na hala kujiliza akiw amgonjwa akifa au chochote..
 
Ngoja MAGAIDI waje utaona wanavyo toka povu,, wamo humu kibaoo,, ndugu wa al shabab! tulia tu utawaona wakitetea hoja!
 
Waafrika tumeletewa dini za kisasa tukaletewa na mfumo wa siasa. Sasa tunachanganyikiwa
 
Hata ujamaa haukubariki kidini bali mwongozo kwa waislam ni qur'an na sunnah na hata huko uarabuni bado mataifa mengi yanaidadi kubwa tu ya waislam but sio matifa ya kiislam kisheria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom