Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
Warembo mpoooo??
Leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ile ya nyuma mlikuwa mkitongozwa mnasema " nina mtu" au " acha nijifikirie maana nina mtu" hizi kauli saivi zimeishia wapi??? hahahahahaha nasikia mpaka mnaandamana hahahah.
Inasemekana wale wajanja waliokuwa na kauli nzuri walijipatia bwana zao wakaolewa mapemaa, saivi wanakula mafuta tu haya sasa mliokuwa mnasema mnabwana ameenda wapi tena? kuleni jeuri ya vinywa vyenu.

Sijaelewa una nia gani kwa kuwaandikia hao warembo uzi huu, kwamba unawazodoa kwa kukutalia au unawacheka kwa kukosa watu wa kuolewa nao kwa sasa? Ulitegemea wajibu nini kama kipindi hiko kweli walikuwa na watu? Wamkubali kila mtu waitwa malaya na wasiolewa au watunzi heshima zao na kuwafanyia uchunguzi hao waliowatongoza?
Kosa lao ni kuachwa au kosa lao hasa nini? Msimamo wao? Wewe binafsi haujawahi kuwa na girlfriend na baadaye kuachana kwa sababu yeyote ile? Kipindi hiki msimamo wako juu ya wasichana wengine ulikuaje? Ulikuwa unaendelea kutongoza kila mtu?
Sijaipenda hii ....
Sijaelewa una nia gani kwa kuwaandikia hao warembo uzi huu, kwamba unawazodoa kwa kukutalia au unawacheka kwa kukosa watu wa kuolewa nao kwa sasa? Ulitegemea wajibu nini kama kipindi hiko kweli walikuwa na watu? Wamkubali kila mtu waitwa malaya na wasiolewa au watunze heshima zao na kuwafanyia uchunguzi hao waliowatongoza?
Kosa lao ni kuachwa au kosa lao hasa nini? Msimamo wao? Wewe binafsi haujawahi kuwa na girlfriend na baadaye kuachana kwa sababu yeyote ile? Kipindi hiki msimamo wako juu ya wasichana wengine ulikuwaje? Ulikuwa unaendelea kutongoza kila msichana au kumkubalia kila msichana aliyejileta kwako?
Sijaipenda hii ....