Kansigo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 2,670
- 2,156
Karibuni tujadili ahadi hii walioitoa wanachedema kwa Lowassa ya kwamba hata iwe vp hawatamuacha! but miezi michache tu tangu shughuli ya uchaguzi mkuu ziishe mzee amesahaulika kabisa, hawamtaji tena kama ilivyokuwa kipindi cha uchaguzi na wala hawana time naye. Walidiriki hadi kumdekia barabara ili apite! Ama kweli usimtegemee mwanadamu mwenzio. Pole sana mzee Lowassa na endelea kumshukuru JK alokupa Uwaziri Mkuu ambao ndo unakuweka mjini hadi leo.