Ahadi ya malipo ya pesa za Korosho ni hewa

Ahadi ya malipo ya pesa za Korosho ni hewa

Vijisenti

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
544
Reaction score
330
Bado mambo ni magumu, waliahidi mwisho Tar 30. March leo Tar. 8 April
Mashamba hayajaandaliwa. CCM ni bora ijitafakari tu haifai tena kuongoza
nchi hii.
 
Bado mambo ni magumu, waliahidi mwisho Tar 30. March leo Tar. 8 April
Mashamba hayajaandaliwa. CCM ni bora ijitafakari tu haifai tena kuongoza
nchi hii.
kwenye t.v si tuliona jinsi mnavyomshangilia na kupendekeza kuongezewa miaka ya kuongoza leo kaondoka mnaanza kuponda.
 
Wale kangomba hawajalipwa? inabidi utaratibu wa kununua korosho kupitia vyama vya ushirika uimarishwe, watu binafsi na makampuni pia waruhusiwe kwa kufuata utaratibu wa bei elekezi iliyowekwa na mamlaka
 
Screenshot_20190404-155011.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado mambo ni magumu, waliahidi mwisho Tar 30. March leo Tar. 8 April
Mashamba hayajaandaliwa. CCM ni bora ijitafakari tu haifai tena kuongoza
nchi hii.
Mkuu mbona mh.Rais kwenye hotuba zake huko maeneo ya Mtwara anapenda kusema tayari wakulima wa korosho wamelipwa na majina anayo atawapa wakuu wa wilaya wabandike kila sehemu ili kila mtu aone
 
Mikoa ya Kusini hakuna anaeshabikia ccm wale watu kwenye mikutano walisombwa kutoka maeneo mbalimbali na walikuwa wakihamishwa kwa mafuso kutoka eneo moja kwenda jengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom