Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,261 Oct 1, 2011 #1 Utasikia, tutawajengeeni daraja. Na maji tutaleta mkimchagua broker, sorry, dalali... (hata simba kulikuwa na dalali). Tuwekeeni ahadi na vioja vingine plz
Utasikia, tutawajengeeni daraja. Na maji tutaleta mkimchagua broker, sorry, dalali... (hata simba kulikuwa na dalali). Tuwekeeni ahadi na vioja vingine plz
M Mfwalamanyambi JF-Expert Member Joined Dec 18, 2010 Posts 433 Reaction score 102 Oct 1, 2011 #2 Mnichague tu mtajionea wenyewe maendeleo ya Igunga yetu. Yaani matatizo ya maji na umeme hapa Igunga yatakwisha na itabaki historia. by Dalaly Kufumu (CCM).
Mnichague tu mtajionea wenyewe maendeleo ya Igunga yetu. Yaani matatizo ya maji na umeme hapa Igunga yatakwisha na itabaki historia. by Dalaly Kufumu (CCM).