Ahadi imetimia: Israel yashambuliwa

Ahadi imetimia: Israel yashambuliwa

Propaganda za kitoto Jana Hezbollah kachapwa mpaka akatumia third party kuomba suluhu wala hakuna hata mwizraeli mmoja aliyeuawa au kujeruhiwa
 
Zile helikopta ilikuwa ni kuwahadaa hizbullah na ile hadaa ya Izraeli ilifanikiwa.Kama huamini fuatilia Almanar ya Hezbollah au Aljazeera Halafu pamoja na tambo zote kuwa ndege za Israel marufuku anga la lebanon lakini zilishambulia site nyingi za Hezbollah !
 
NIKUKUMBUSHE

Wiki mbili zilizopita ndege ya Israel ilishambulia nyumba huko Syria na kuua Vijana wa wawili raia wa Lebanon na Wafuasi wa Hizbullah.

Aidha ndege zisizo na Rubani (Drones) ziliingia aga ya Lebanon katika Mji wa Dhahiya ilipo ngome ya #Hizbullah. Ndege moja ilianguka na nyingine kushambulia Kituo cha Televisheni cha Almanar kinachomilikiwa na Hizbullah hapakuwa na Majeruhi wala vifo.

AHADI YA JINO KWA JINO*
Muda mfupi kiongozi wa Hizbullah Sayydi Hassan Nasrallah alitangaza na kuahidi mambo mawili.

1) Kuanzia sasa Ndege yoyote ya Israel itakayoingia Anga ya Lebanon itashambuliwa kwa Makombora.

2) Mauaji ya Vijana wawili Hasan Zbeeb na Yasser Daher’s hayatapita bila kulipwa kisasa.
Ahadi hii ya Pili Sayyid alibainisha wazi kuwa Shambulizi hilo litalipizwa eneo kwenye Mpaka wa Israel na Lebanon la Mashamba ya Shebaa. Na kuwataka Jeshi la israel likae tayari kushambuliwa.

Pamoja na Tahadhari zote zilizochukuliwa na jeshi la Israel.

Leo tarehe 1/09/2019 saa 4:15 Jioni Kikosi maalimu cha Wanajeshi wa Hizbullah walipewa kazi ya kulipiza Kisasi chenye jina Bregedi ya Hasan Zbeeb na Yasser Daher’ kimefanikiwa kwa Usahihi na Umahiri mkubwa kushambulia Deraya ya Kijeshi ya Israel kwenye eneo la Mashamba ya Shebaa mpakani mwa Israel na Lebanon kitongoji cha Kaskazini cha Avivim.

Shambulizi hilo limewauwa Makomandoo wote wa Israel waliokuwemo ndani ya Deray hiyo.

Helkopta za Uokozi za Israeli zimeonekana zikibeba Miili ya Makomando walioshambuliwa.

#Jino_kwa_JinoView attachment 1195361View attachment 1195362View attachment 1195363View attachment 1195364View attachment 1195365
Sio kwamba ndege moja ilianguka,sema iliangushwa
 
Back
Top Bottom